pharaoh_2
Senior Member
- Jun 25, 2015
- 143
- 123
Una mke mzuri mshukuru Mungu kwa hilo, kama na yeye angekua mlevi sijui ni nani angeibeba hiyo familia kiroho naamini bila uwepo wake hayo maji ya maiti yange kumwagikia mwili mzima wewe na wanao, sio usoni peke yake, asikudanganye mtu ushirikina upo mpaka kwenye vitabu vitakatifu kama una sumbuliwa na mambo ya kishirikina na hauna msimamo juu ya suruhisho unaloliamini utasumbuka