Je,Inakubalika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,Inakubalika?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DEMAKA, Jun 27, 2011.

 1. D

  DEMAKA Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi n mschana nashindwa kuamua coz kjn anayetaka 2we ktk mahusiano then kuwa mke na mme ananizidi miaka 10, je nifanyeje?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,403
  Likes Received: 81,429
  Trophy Points: 280
  Inakubalika tofauti kama hiyo ya umri. Kama nawe una mapenzi ya kweli kwake basi hakuna tatizo. Kila la heri :)

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inakubalika na nani?!Kwani huyo kijana anataka kukuoa wewe au hao walio kwenye kundi la ITAKUBALIKA?!Fanya unachotaka wewe kufanya...kama anakuvutia na umeridhika nae mpe nafasi...kama nafsi yako inasita kataa!
   
 4. Garmii

  Garmii Senior Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakukubali kwa majib yako!
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Umri siyo kigeo saaaaaaaaaaaaana kivile katika mapenzi,ila inabidi tuuangalie kwa ndoa,mwanaume kwa kawaida anatakiwa kumzidi mkewe kwa umri kwa kama miaka 3-10,hii inatokana na sababu za kibiologia,thus kwa mujubu wa maelezo sidhani kama kunatatizo lolote kuoana na mtu wako,just check other reasons
   
 6. mito

  mito JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,607
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  Unaogopa watu kukusema kuwa umeolewa na kijeba au huna mapenzi naye?
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Miaka 10 sio issue hapo je wewe unampenda??
  Na unauliza inakubalika na nani, wapi na lini???
  Olewa kufata Moyo wako unavyokwambia sio kuanza kuangalia watu watasema nini
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nakukubali kwa kukubali majibu yangu...lolz!Nasuburia ushahidi kule....!
   
 9. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  haikubaliki!
   
 10. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inakubalika mpendwa huo ni umri wa kawaida wala sio kigezo kama kweli unampenda mnaweza endelea na mipango yenu
   
 11. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  <font size="4"><strong><span style="color: rgb(0, 128, 0);">hali hii mbona inakubalika tu..!! tena ni ya kawaida hata lizzy anaikubali isipokuwa anataka kututoa kwenye mada.<br><br>mbona yeye lizzy alikubali...!! na sasa anaendelea vzr bila shida. Wewe mpe tu huyo jamaa yetu na mwisho wa siku mtaishia kuoana maana kila jambo zuri huanza na lililo baya.....!!!</span></strong></font>
   
 12. data

  data JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,732
  Likes Received: 6,506
  Trophy Points: 280
  haiwezekani...... sikushauri kabisaaa.. hayo mambo dunia ya mababu zetu ndio yaliwezekana wasichana wa enzi hizo wealikua ni wavumilivu hata kama mzee kaanza shindwa piga mechi.... nyie siku hizi nasema hampo hiiivyooo.. utamtakia kijana wa watu stresses kwani utaanza penda vijana wenzako na utaishia chakachuliwa nje ya ndoa wakati mzee ananza kuchuja... Stop.. tena mwandikie msg saiv mwambie akome kukujua.. na apotee mbali na uzee wake.. sihitaji mni quote....wachangiaji..
   
 13. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  unapo coment try to generalise nafikiri haupo sawa kabisa sababu kuna watu wamepishana hadi miaka kumi natano 15yrs still wapo hadi leo unatakiwa kujua kuwa mwanamke anazeeka haraka kuliko hata mwanaume.sasa kama mwanaumeana miaka 35 na mwana mke ana mika 25 tatizo liko wapi hapo??
   
 14. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  inawezekana sana wewe binti, tulia utulizwe
   
Loading...