Acha kuchanganya madawa,nimepata gf ambaye tunapendana sana tu. ana sifa ninazozitaka kuwa mke wangu, lakin nikitembea nae njiani najisikia inferior coz mie mfupi af yeye mrefu. niendelee nae au nitafte mfupi mwenzangu. (honestly I love her tatizo ni urefu tulopishana tu)
.Kumbe kuwa mkaka mrefu ka mie dili sana eeeh?