Je, huyu ni nyoka aina gani?

Je, huyu ni nyoka aina gani?

Sijui mnambie nn.....mi kwangu nyoka ni nyoka tu.....sipendi hata kuwaona.....ni kumuona nyoka siku moja tu bs mwezi mzima unakua umeharibika kwangu
 
Mungu akamwambia Nyoka "Uzao wake Huyu Mwanamke utakukanyaga Kichwani"
 
Nikiwa kijana mdogo niliwahi kumuona huyo nyoka kwenye majani makavu na mabua ya mahindi. Nikiwa na mpini wa jembe nilifanya pigo moja ili kumuua. Matokeo yake baada ya mpini wa jembe kutua na vumbi kutulia sikuona dalili yoyote ya nyoka mahali pale. Leo ni miaka 15 sipiti lile eneo asije akanikumbuka hata kama kwa uzoefu wa sasa ni nyoka msela.
 
Mkuu tuwekee picha ya type hizo mbili kwa msaada zaidi.
main-qimg-d8cbe23e89ae864fb7c6f404ee136955.png
 
Back
Top Bottom