JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 766
- 561
Hawa ni Nyoka wa kundi linalotambulika kitaalamu psammophis,
Rear-fanged and mildly venomous and not considered dangerous to man.
Kichwa cha nyoka ndiyo kina weza kukufanya ujue ni wa sumu au laah!!
Wanasema kama kichwa ni round hana sumu ila kama kipo kama triangle huyo ni hatari!!
Na macho pia utajua huyo ana sumu au laKichwa cha nyoka ndiyo kina weza kukufanya ujue ni wa sumu au laah!!
Wanasema kama kichwa ni round hana sumu ila kama kipo kama triangle huyo ni hatari!!
Hapana mkuu nafikiri sio huyo uliemtaja
Onjesha kichwa chake jameeView attachment 861406
Habari wana jamvi, nimemuua huyu nyoka leo karibu na nyumbani kwangu. Kwa wale wataalam wa hawa viumbe, je huyu ni nyoka aina gani? Ni poisonous au non-poisonous?
Tambalio lake (tumbo) ni la rangi ya njano njano!
Ahsanteni
Mkuu hawa nyoka huitwa "NYOKA WA DAR"mara nyingi vinapenda sana kukaa kwenye mikorosho na minazi...View attachment 861406
Habari wana jamvi, nimemuua huyu nyoka leo karibu na nyumbani kwangu. Kwa wale wataalam wa hawa viumbe, je huyu ni nyoka aina gani? Ni poisonous au non-poisonous?
Tambalio lake (tumbo) ni la rangi ya njano njano!
Ahsanteni
Mkuu huyo nyoka ana sumu kali mno ila ngumu sana kukuuma yaani mpaka akoswe kabisa pa kukimbilia ndo anaweza kukuuma ila ni nyoka rafiki sana kwa binadamu,haumi hovyo kama nyoka wengineHuyo hana shida na binadamu yeye hutafutana sisimizi na wadudu kama chakula basi. Umepoteza Kiumbe muhimu kwenye mazingira yako.
Ni kweli kabisa inasemwa huyu ndo ana sumu kuliko nyoka wote yaani ye huongoza wengine wanafuataNyoka huyu , ni poisonous. Lakini haumi hovyo hovyo. Huwa na rangi ya mjusi. Nyoka huyu ni mwoga sana anapohisi kuna adui.
Wasukuma wafugaji wa nyoka, hawapendi kumfuga nyoka huyu kwa sababu huwa Hachanganywi pamoja na nyoka wengine. Akichanganywa na nyoka wengine, huwa anawauma na kubaki peke yake. Hapo ndipo nyoka huyu huonekana kuwa ni poisonous. Hafugiki, ukimkanyaga au kumbana, anakugonga.