bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,705
Kumbe nikivizia kwa rum na cobra unanipa papuchi kiurahisi.Kiumbe nakiogopa hiki
Kumbe nikivizia kwa rum na cobra unanipa papuchi kiurahisi.Kiumbe nakiogopa hiki
Huyo ni Gartersnake hana sumu kabisa ila ana meno kwa ajili ya kula wanyama wadogo kama panyaNi kweli kabisa inasemwa huyu ndo ana sumu kuliko nyoka wote yaani ye huongoza wengine wanafuata
Mkuu unaweza kuwa umechanganya huyo nyoka ana sumu,nyoka yupi hutaki hata kumsikia Koboko au?Huyo ni Gartersnake hana sumu kabisa ila ana meno kwa ajili ya kula wanyama wadogo kama panya
Anauma ila hana sumu kabisa
Kumjua non poisonous angalia kichwa mkia na hata macho pia kama mboni ni duara hana madhara
Nawapenda sana nyoka ila ni mmoja tu ambae hata kumsikia sitaki





Yaani nakupa vizuri sana yaani nimefungua huu uzi sijui nitalalaje
Kumbe nikivizia kwa rum na cobra unanipa papuchi kiurahisi.
Yaani nakupa vizuri sana yaani nimefungua huu uzi sijui nitalalaje

Mara naingia hawa wadudu, vua fasta uliwe



Basi nitakuja na lile joka lingine ambalo huliogopiAcha bwana usiniquote tena


Mimi namuona kafanana na huyu katika picha yangu chiniMkuu unaweza kuwa umechanganya huyo nyoka ana sumu,nyoka yupi hutaki hata kumsikia Koboko au?
Basi nitakuja na lile joka lingine ambalo huliogopi![]()
Hana utofauti na huyuMkuu unaweza kuwa umechanganya huyo nyoka ana sumu,nyoka yupi hutaki hata kumsikia Koboko au?
Huyu ni tofauti sana aiseeMimi namuona kafanana na huyu katika picha yangu chini
Kuhusu huyo nisie taka kumsikia ni huyo huyo Black mamba aka Koboko
Nyoka gani mpaka maiti anang'ata ni jini sio kiumbe huyo
Koboko ni noma!Enhee nkoi onishingwandila ugoyomba, akayoka kanako Ka-Pambeanaitwa pambe..hana sumu,ana mbio balaa
Pambe iyiniyo nkoiHuyu ni nyoka alimaarufu kikwetu anaitwa pande hana sumu anaruka ruka tu