Je, huyu ni nyoka aina gani?

Je, huyu ni nyoka aina gani?

Satoshi Nakamoto

Senior Member
Joined
May 28, 2017
Posts
110
Reaction score
466
IMG_20180909_180657.jpg

Habari wana jamvi, nimemuua huyu nyoka leo karibu na nyumbani kwangu. Kwa wale wataalam wa hawa viumbe, je huyu ni nyoka aina gani? Ni poisonous au non-poisonous?
Tambalio lake (tumbo) ni la rangi ya njano njano!
Ahsanteni

UPDATE KUTOKA KWA MDAU:

View attachment 861488
Hawa ni Nyoka wa kundi linalotambulika kitaalamu psammophis,

Rear-fanged and mildly venomous and not considered dangerous to man.
 
Mbinguni huendi kakutenda nini kiumbe wa Mungu hadi umemtendea hivyo!!!
 
View attachment 861406
Habari wana jamvi, nimemuua huyu nyoka leo karibu na nyumbani kwangu. Kwa wale wataalam wa hawa viumbe, je huyu ni nyoka aina gani? Ni poisonous au non-poisonous?
Tambalio lake (tumbo) ni la rangi ya njano njano!
Ahsanteni
Mpige picha kichwa chake, ila huo mwili kuna nyoka mmoja namfananisha naye. Chini ana rangi ya njano
 
Back
Top Bottom