Je, huyu ni kahaba au mke?

Wengi ni waongo wanazingua. Kuna demu wangu nilikuwa nachat naye daily akaniambia amepata kazi Dar kampuni ya kufunga minara. siku moja nimeingia sokoni nikanunue ndizi nimekuta anauza matembele kapauka balaa alishtuka alivyoniona akabaki anatoa maelezo hajui Hata anaongea nini
 
Unahatari sana kwa akili yako hiyo.
 

Haaaa haaaa haaaa mbavu zangu mie!...et anauza matembele, jf!!!
 
scatter

Kakupotezea tu, kakuona unamzeveza
 
Last edited by a moderator:
Lakini si unajua sura hata mbuzi anayo?
 
achana nae,,, endelea kwenda viwanja utapata mwingine....
 

Huko viwanja umekosa watu wa kukupa msaada ndio mpaka uje huku??
 
wajinga ndio waliwao...funguka we boya...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…