Je, huyu mwanaume ana malengo?

Huyo mwamba ana nyota ya mapenzi sio bure...

Ndo amebarikiwa sana...


Yaan anapendwa na mwanamke?
 
Alafu asikwambie mtu hawa wanawake wanakuwaga na wivu sana kama mwenzie anatombwer vizuri huku yeye akiwa anachafuliwa tuu.
Itabidi tukukabidhi huyu mrembo mpelekee moto vizuri ili nae apate tulizo la mbususu yake🀣🀣🀣🀣
Nikabidhi tu mkuu🀣🀣 ili apate mbanduo kama anaopata mwenzake na huu uzi ataufuta mwenyewe baada ya kupata moto ambao mwenzake anapelekewa na jobless
 
Amuacheje wakati yeye halipi, si kitumbua kitamuozea [emoji23][emoji23][emoji23] demu mbaya akiwa na bwana HB hawezi kumuacha kizembe, atalalamika tu which is a common thing na hata akiachwa ataanza kulia lia allover the internet. Cc rubi the artist!
Na usiombe ukawa na mwanaume wa hivo na shughuli anaijua kutoka hapo inatakiwa ukaze roho kweli kweli.
Mbaya zaidi ukute na vizinga anakupiga ha!ha!
Ila wanawake tunapitia changamoto basi tu.Hasa wale wife material huwa wanaishia kupigwa na vitu vizito sijuj kwanini.
 
Amuacheje wakati yeye halipi, si kitumbua kitamuozea [emoji23][emoji23][emoji23] demu mbaya akiwa na bwana HB hawezi kumuacha kizembe, atalalamika tu which is a common thing na hata akiachwa ataanza kulia lia allover the internet. Cc rubi the artist!

Ni mzuri ana tako na sura ila umri umeenda she is 32 now, labda ndio anangojea ndoa
 

Ha ha ha mimi namuombea ushauri tu jamani
 

Asante kwa ushauri, ila kama amekaa naye kwa miaka miwili na demu hajawahi kumdai kitu & wapo na furaha si ndio kiashiria kwamba demu ameridhika? Sasa wanataka nini tena.
 
Nipatie namba yake tafadhali Mungu ni mwema siku zote
 
Two people with different interest
Mmoja hapo kapata cheap ngono yaani dustbin la kumwagia uchafu wake mwingine anangojea ndoa feri.
 
Na wanawake mkikolea mnahongaga balaa, yani unapigwa mizinga na babe babe nyingi. Unajikuta unagharamia shopping na kila kitu. Wenzio wakimkandia bwana wako unawaona wachawi tu hawajui tu jinsi anavyokukanda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Kila ukiwaza kumuacha unasema hebu niacheni kidogo. Nina aunt flani alikolea kwa mjomba wangu flani late 90's mtoto alikuwa na Clearing and Forwarding company hela za bandari zimekolea.

Mjomba alikuwa na mwili kapanda hewani "biggie steve" swaga zake sasa akipiga pamba za kihuni unaweza sema fat joe. Akitupia suti unaweza sema ni mkurugenzi flani. Ukimix na ujanja ujanja wa mjini yule mama wa kichaga alikwisha.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hela zote akipata mjomba anaishi nazo, leo ana laki 8 kesho hana ata mia ni bata kwa kwenda mbele.

Mjomba ukimcheki katakata kama black america akikupanga huruki jamaa alikuwa kama pussy magnet. Yani demu anasetiwa na kisha kuliwa chap sababu swaga zake zilikuwa next level. Alikuwa hapigi wanawake makapuku. Yeye ni boss ladies tu, ama wake wa maboss! Aisee nikikumbuka enzi zile huwezi amini kwa hali aliyonayo sasa. Ujana maji ya moto.

Ila hela za wanawake amezila sana jamani, zinaliwa tena in millions sio buku buku.
 
Tumia akili huyo hana mwanaume ana king'hasti au bwege na huyo mwanamke ni mlevi wa ngono au sura, ni wa kupigwa hata kitu kizito bwege huyo, unawezaje kuwaza kuolewa na kibwengo wa hivyo, hao wote mabua na mwanaume kaokota bonge bwelele la maana. Mwambie endelea kukamuliwa hadi utapookoka ubatizo wa red sea.
 
Mwanaume gani huyo bado anaishi kwao? Anafanya kazi hata uwezo wa kupanga hana?
Hili nalo ni la kuomba ushauri? Uoni hapo hakuna ndoa mdada wa watu anachunwa tu, na kupitezewa muda?

Kwa hiyo hajawahi kumpa chochote hata anapokuja kulala kwake anakuja na mbupu zake tu?
Kweli wanawake tunapitia magumu kisa kuitaka ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…