Je Huyu mtoto nimute Trump?

Kwa nini usimuite Possi, maana wakati huo Posii ndio alikuwa anaandika barua ya kujiuzulu ubunge.
 
Kwa nini usimuite Possi, maana wakati huo Posii ndio alikuwa anaandika barua ya kujiuzulu ubunge.
 
kama wew ni mtanzania,si umpe jina tu la kabila lako au badilisha maana ya trump kikwenu then muite ivo ila,ukmpa jina la trump utakuwa ni uboya uo.
 
kama wew ni mtanzania,si umpe jina tu la kabila lako au badilisha maana ya trump kikwenu then muite ivo ila,ukmpa jina la trump utakuwa ni uboya uo.

Sisi huwa tunawapa watoto majina kutokana na mtukio. Mfano ndege ni Kile kipindi Ndege zilipita kuchora ramani
 
Mimi napenda sana siasa ingawa siasa hazinipendi. Jana wakati Trump anaapishwa Mimi na mke wangu tumebarikiwa mtoto wa kiume. Je nimuite trump?
nikinukuu text iliyopo kwenye signature yako....."kwani nchi ya Trump ni ya babaako?"
 
Back
Top Bottom