Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Mimi napenda sana siasa ingawa siasa hazinipendi. Jana wakati Trump anaapishwa Mimi na mke wangu tumebarikiwa mtoto wa kiume. Je nimuite trump?
Kapime DNA kwanza, ukileta mrejesho nitakushauri
Ndio yafaa sana
Mpe jina 'Donald'Mama yake anagomagoma
Ha ha ha..mzazi wa kidigitar una shida sana wewe,..
muite Donald
Hapana, naomba sana muite Yahya Jammeh maana ni wakati huo huo Yahaya nae alikubali kuondoka madarakani kwa amani