Nataka niende kwa Ras Simba nikajinoe, ili nikuje humu nitongoze watoto kwa lugha ya bepari.... tehteehhHahah!, Ushimen sawa mie nilisoma Primary lakini sikupanda school bus kama wewe. 😀
[emoji16][emoji23]Nataka niende kwa Ras Simba nikajinoe, ili nikuje humu nitongoze watoto kwa lugha ya bepari.... tehteehh
Tatizo hii avatar ndio inaniangusha sana wallah, maana hii ni avatar ya kukataliwa kila ninapo zoza
Kama huwezi eleza baki na bandiko lako![]()
Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1900 huko Urusi kulikuwapo na jamaa mmoja aliyeaminika kuwa na nguvu za miujiza katika kuponya wagonjwa. Lakini vilevile alionekana kuwa ni mtu mwenye uwezo wa kutabiri.
Uwepo wa jamaa huyo katika falme ya urusi, ulisababisha migogoro kwenye uongozi wa dola hiyo, kitu kilichochochea kupinduliwa kwa aliyekuwa mfalme wa urusi, Tsar Nicholas II
Unajua ilikuwaje?
Jamaa huyo alikuja kupata Umaarufu mkubwa mnamo mwaka 1903, pale alipoingia mjini st Petersburg Na kukutana na familia ya mfalme Tsar Nicholaus II na mkewe Aliyeitwa Alexandra.
Mtoto wa mfalme aliyeitwa Alexei alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa uliyejulikana kama Haemopholia ambao alikuwa akitokwa na damu na damu mfululizo hali iliyomfanya akaribie kufa.
Sasa kwakuwa huyo jamaa alisifika kuwa ni mtu mwenye uwezo wa kuponesha watu kimiujiza ndipo akskutanishwa na familia ya mfalme ili kujaribu kumponesha Alexei..Na kwa bahati mtoto yule alipona mara baada ya kukutana na huyu jamaa.
Mara baada ya tukio hilo, Ikatokea kwamba mke wa mfalme Nicholas II, Aliyeitwa Alexandra alitokea kumshukuru sana na kumthamini jamaa huyo kwa kitendo chake cha kuokoa uhai wa mwanae. Na Hivyo walimwambia aanze kuishi hapo (kwenye makazi ya mfalme) kama shukrani.
Ndipo hapo ukawa mwanzo wa jamaa huyu kuishi 'palace' na familia ya mfalme.
***
Kipindi cha vita ya kwanza ya dunia, Mfalme nicholaus aliondoka urusi na kwenda kwenye viwanja vya mapambano kuvisimamia vikosi vyake vilivyokuwa vinapigana vita.
Sasa huku nyuma, alimuacha mkewe pamoja na jamaa huyo...(kilichotokea sitakielezea hapa, utatafuta mwenyewe kwa muda wako)
Ila kilichochea viongozi wengine wa serikali kuja juu na kupanga njama za kumuua, njia waliyoitumia kujaribu kumuua ni kumuwekea sumu kwenye kinywaji, lakini cha ajabu jamaa huyo sumu ilikuwa haina madhara mwilini kwake...hahah.
Lakini mwisho wa siku walimuua tu kwa njia nyingine, na baadae tukaona Tsar nicholaus na mkewe wanauwawa na kufanya mwisho wa utawala wa kifalme urusi. Na kujulikana kama Mapinduzi ya Urusi ya mwaka 1917.
Je, huyu jamaa ni Nani?
Uzi huu ni kwa HISANI ya Kichwa kikuu
0621002295.
Walimtupa mtoni sio ziwani. Na alikua maarufa Urusi kama ImmortalKisa ni kwamba mfalme alikua anamsikiliza jamaa kama vile ni mshauri mkuu wakati alikua ni mdananda tu. Kama Jiwe na Bashite vile. Officials wengine wakapanga kumuu.
Alipewa sumu.
Akasurvive.
Wakamshambulia na mashoka, the guy was so strong, ingawa alikua na sumu mwilini, bado alibingirishana nao.
Wakamfunga wakamtupa kwenye ziwa.
Mwili ulivyokuja kuopolewa uchunguzi ulionyesha kilichomuua ni hyporthemia. Siyo sumu, mashoka wala kipigo ni hyporthemia.
Kama nimechanganya watu mtanisamehe ila ni stori niliisoma zamani sana hata jina nimemsahau.
Kweli kabisa ni RasputinNdio Huyo kazungumziwa kwenye nyimbo za Abba au bonny em kitu kama hicho. Alipewa sumu ina yoweza kuua farasi?
Rasputin?Kisa ni kwamba mfalme alikua anamsikiliza jamaa kama vile ni mshauri mkuu wakati alikua ni mdananda tu. Kama Jiwe na Bashite vile. Officials wengine wakapanga kumuu.
Alipewa sumu.
Akasurvive.
Wakamshambulia na mashoka, the guy was so strong, ingawa alikua na sumu mwilini, bado alibingirishana nao.
Wakamfunga wakamtupa kwenye ziwa.
Mwili ulivyokuja kuopolewa uchunguzi ulionyesha kilichomuua ni hyporthemia. Siyo sumu, mashoka wala kipigo ni hyporthemia.
Kama nimechanganya watu mtanisamehe ila ni stori niliisoma zamani sana hata jina nimemsahau.
huyu ndiyeKisa ni kwamba mfalme alikua anamsikiliza jamaa kama vile ni mshauri mkuu wakati alikua ni mdananda tu. Kama Jiwe na Bashite vile. Officials wengine wakapanga kumuu.
Alipewa sumu.
Akasurvive.
Wakamshambulia na mashoka, the guy was so strong, ingawa alikua na sumu mwilini, bado alibingirishana nao.
Wakamfunga wakamtupa kwenye ziwa.
Mwili ulivyokuja kuopolewa uchunguzi ulionyesha kilichomuua ni hyporthemia. Siyo sumu, mashoka wala kipigo ni hyporthemia.
Kama nimechanganya watu mtanisamehe ila ni stori niliisoma zamani sana hata jina nimemsahau.
Sawa kabisa ni likuwa na changanya kati ya Abba na bony mKweli kabisa ni Rasputin
Boney M alimuimba
😀😀😀
Halafu nyie mnaojiweka hivi ndo usikute bonge moja la HB...lol
Usikute unatuzingua tu hapa! 😀
@Nalendwa msaidie ombi lake bana, amepata tabu sana maana kila wakati mdomo unakuwa wazi na kukimbiwa na michuchu tu
Lahaula lakwata.....😀😀😀
Halafu nyie mnaojiweka hivi ndo usikute bonge moja la HB...lol
Usikute unatuzingua tu hapa! 😀
Lahaula lakwata.....
Ebu usinifanye nikaja pata ndoto kama ya alinacha.....😩😩
Naunga mkono hoja, hapa nasubiria huruma ya muhusika@Nalendwa msaidie ombi lake bana, amepata tabu sana maana kila wakati mdomo unakuwa wazi na kukimbiwa na michuchu tu
Hamna dhambi mpyaKumbe haya mambo ya usaliti ndani ya ndoa yameanza kitambo!!
Kwel kabsaHamna dhambi mpya