EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,115
Wadau kuna mdada nimemuelewa sana alikuwa just a friend tu, urafiki wetu haukuwa mkubwa sana zaidi akiwa na changamoto hasa anataka ushauri mi ndo nilikuwa mshauri mkuu na ananikubali sana kwa hilo.
Niliamua kurusha ndoano ya kimapenzi lakini lengo langu nataka nioe kabisa kwani kiukweli umri unaenda nahitaji kuwa na familia sasa nilimueleza adhima yangu akakubali lakini akaniulza nipo dhehebu gani nikamwambia mi ni Mpentekoste ye akasema ni Mkatoliki tayari ni kikwazo kwan wazazi wake hawatamuelewa kabisa sikutaka ligi nikamulza kwaiyo haiwezekani akajbu ndiyo, nikamwambia basi haina shda.
Nlichoamua nikafuta kabisa namba yake ili nisishawishke kwa namna yoyote ile kuwasliana naye, zikapita wiki kadhaa sku moja nikaona sms whatsapp ya salamu, kucheck picha nikamuona ni yeye nikamjbu poa, kisha akaniulza uko wap nikamwambia npo kwangu hapa napika maana ilikuwa Jumapili sikuwa kazini
Akaniulza unapika nn nikamjbu akasema pole nikamwambia asante we si ulinikataa wacha nipambanie wa kunipkia sina, akajishaua shaua kisha akanambia ooh bs nimekubali sina shida nikamwambia poa basi akaulza sana kuhusu ndugu zang nikamjbu akaomba mpk picha zao nikamtumia basi akafurahi sana japo kuwafahamu ndugu zng wa damu, sasa ikawa ni kila sku kuchart kupgiana simu.
Sasa baadae nikashangaa nikmtumia sms hajbu kwa wakati, nikmpigia hachangamki kama mwanzo maana ilikuwa nikmpgia simu nikimwambia baadae analalamika ooh mbona kdogo tu unataka kukata simu but yakatokea mabadiliko nikmpgia tukiongea kdogo ananambia nipgie baadae ok nikajiongeza nikagundua iyo ni taa ya alert nikamua kumwambia bwana eeh kila mtu achukue ustaarabu wake tu nikamove on nikaacha mtext wala mpgia simu ye akajbu via whatsp kwa emoje ya kulia mi skujbu ktu zkapta siku kama 4 npo zng ofsn busy nikaona call yake nikapokea akawa analalamika ooh mi sjazielewa sms zako,
Mimi nikamchana tu namaanisha kila mtu afanye maisha yake maana mi staki mdangaji bali nataka wife naona kama hauko tayari. Nikakata simu nikamblock mpk leo.
Je wakuu huyu manzi yuko serious au ni mdangaji tu? Ushauri wako. Pia ni muhtimu wa chuo diploma ya clinical officer