DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,816
- 30,490
Pole sana ndio ukubwa huoHabari wadau
Jamani naomba mnishauri kuhusiana na haya mahusiano yangu kwani ni zaidi ya mwaka sasa bila kuyaelewa. Binafsi Mimi naishi Kenya ila kwetu ni Tanzania.
Ilikuwa ni mwaka jana nilipokuwa nafanya kazi za tiba ya asili mkoani Simiyu ndipo nilikutana na binti mmoja hivi, nikamueleza yaliyopo moyoni mwangu nayeye akanielewa sana. Kwa vile yeye alikuwa ni Mwanafunzi wa chuo cha Kati hapa nchini tulikaa pamoja Kama miezi 2.
Alisafiri kwenda huko dodoma na Mimi nikaenda zangu huko Kenya baada ya kumaliza kazi iliyonileta. Mwanzani mawasiliano yakuwa bomba sana but baada ya muda yalianza kupungua.
Ila tatizi lake hawezi kunitafuta Kama hana shida ya hela. Wakati mwingine namtumia text hata WhatsApp namuona yupo Online lkn hajibu isipokuwa anaisoma tu na kupotezea. Kuna wakati napata hasira namtusi ndipo anaanza kujibu kwa kujitetea.
Jamani naumia sana nikifikiria namna nilivyowekeza pesa nyingi kwake kweli naishiwa nguvu kabsa. Mfano saivi nimetuma text WhatsApp ila hajajibu japo kaisoma. Hivi hapo kuna tumaini la ndoa kweli.
Mbaya zaidi nikilalamika ananiambia kuwa anaumia ninapolalamika nipeni ushauri ila tatizo kubwa lipo kwenye kuishi naye mbali na kutonitafuta mpaka nimtafute au awe na shida ya pesa
Atakutesa kiakili hadi ujinyonge, wewe endekeza ujinga tu.Mimba sikumpa na kwa sasa tupo mbali naye na bado rohoni mwangu yumo.
Ukubwa achana nao, fanya mambo mengineMpaka najuta kuwa mkubwa
Uncontrolled love is stupidityKwan kupenda n ujinga?
Hii haiwezi badilisha Ukweli kuwa Huyo Demu Hampendi jamaa anapenda pesaa tuu anazopewaa bhasii...!! So kama jamaa anajielewaa ampotezee tu DemuWeka picha ya demu mkaliii kwenye dp yako WhatsApp.
Then post picha nyingine Kali ya demu huyo huyo, halafu andika "aksante Mungu" Kisha baada ya dk 15 zifute hizo picha Kisha zima simu.
Nakuhakikishia utarudi na mrejesho.
Hakuna Kitu cha Kijingaa na Kipuuzi kama Mwanaume kumpenda Mwanamke kwa Level uliyofikiaa...!! Yani unaona kabisa anakufanya Boyaa na weww unakomaa tuuuKwan kupenda n ujinga?
Mwambie ukweli. Kwamba umegundua anakupendea tu pesa. Halafu kata kabisa mawasiliano naye. Huyo hafai kabisa kuoa, labda kama atabadilika. Na kubadilika huyo sio leo. Tena ukimtajia kumwoa NAJUA ATAKATAA. Huyo anakupendea tu $$. Na anakudharau sana. Na hawezi kukubali kuolewa na wewe. Au jaribu. Kisha mfanye mke kabisa muishi pamoja. Halafu mpelekeshe kwelikweli. Shida ni kwamba atakaa siku chache halafu ataondoka na lila kitu hata godoro.Habari wadau
Jamani naomba mnishauri kuhusiana na haya mahusiano yangu kwani ni zaidi ya mwaka sasa bila kuyaelewa. Binafsi Mimi naishi Kenya ila kwetu ni Tanzania.
Ilikuwa ni mwaka jana nilipokuwa nafanya kazi za tiba ya asili mkoani Simiyu ndipo nilikutana na binti mmoja hivi, nikamueleza yaliyopo moyoni mwangu nayeye akanielewa sana. Kwa vile yeye alikuwa ni Mwanafunzi wa chuo cha Kati hapa nchini tulikaa pamoja Kama miezi 2.
Alisafiri kwenda huko dodoma na Mimi nikaenda zangu huko Kenya baada ya kumaliza kazi iliyonileta. Mwanzani mawasiliano yakuwa bomba sana but baada ya muda yalianza kupungua.
Ila tatizi lake hawezi kunitafuta Kama hana shida ya hela. Wakati mwingine namtumia text hata WhatsApp namuona yupo Online lkn hajibu isipokuwa anaisoma tu na kupotezea. Kuna wakati napata hasira namtusi ndipo anaanza kujibu kwa kujitetea.
Jamani naumia sana nikifikiria namna nilivyowekeza pesa nyingi kwake kweli naishiwa nguvu kabsa. Mfano saivi nimetuma text WhatsApp ila hajajibu japo kaisoma. Hivi hapo kuna tumaini la ndoa kweli.
Mbaya zaidi nikilalamika ananiambia kuwa anaumia ninapolalamika nipeni ushauri ila tatizo kubwa lipo kwenye kuishi naye mbali na kutonitafuta mpaka nimtafute au awe na shida ya pesa
Umenichekesha ujue😅😅kwahiyo unajuta kuwa mkubwa🙄🙄basi jirudishe utoto I mkuu inawezekana.Mpaka najuta kuwa mkubwa
Mimba wanatoa, afanye ampe UKIMWIpole mkubwaa
ila kitu pekee cha kumpa mwanamke na hata kuacha ni MIMBA TU
Achana nae mzee mademu wapo wengi sanaa..!! Mil.1.5 pesa nyingi sana kupoteza kwa demu fala kama huyooAcha tyu, mzee wa kula tunda kimasihara
Mkuu niseme tyu ukweli kumchana huwa namchana sana, na nikimcha Mara nyingi huwa anapaniki na kukata cm. Tunakaa ata miez 2 bila kuwasiliana kisha anajirudi tenaMwambie ukweli. Kwamba umegundua anakupendea tu pesa. Halafu kata kabisa mawasiliano naye. Huyo hafai kabisa kuoa, labda kama atabadilika. Na kubadilika huyo sio leo. Tena ukimtajia kumwoa NAJUA ATAKATAA. Huyo anakupendea tu $$. Na anakudharau sana. Na hawezi kukubali kuolewa na wewe. Au jaribu. Kisha mfanye mke kabisa muishi pamoja. Halafu mpelekeshe kwelikweli. Shida ni kwamba atakaa siku chache halafu ataondoka na lila kitu hata godoro.
Ana mtu wake ambaye ndio yulo moyoni mwake. Wanaume acheni kulazimisha mapenzi. Wasichana ni wengi tu mbona? Najua itauma. Lakini pia ukiwa naye unaumia kifedha nk. Afadhali maumivu wakati hauko naye. Pole sana ndugu.