Amempata msukuma wa kumchuna mahela ya bure.Ameshapata bwana mwingine huyo kwa hiyo hana mapenzi nawe tena!! Yupo nawe ili akuchune tu. Piga chini haraka sana.
Hatari sana!!Amempata msukuma wa kumchuna mahela ya bure.
Halafu anashindwa kujiongeza kutafuta demu mwingine anakuja kuuliza humu.
Mkuu hapo hujui tyu. Yan hii mbinu niliitumia tukawa vzr kwa muda ila badaye tukavurugana tenaWeka picha ya demu mkaliii kwenye dp yako WhatsApp.
Then post picha nyingine Kali ya demu huyo huyo, halafu andika "aksante Mungu" Kisha baada ya dk 15 zifute hizo picha Kisha zima simu.
Nakuhakikishia utarudi na mrejesho.
Unauliza ufanyaje..huwezi kubadilisha moyo wa mtu..Nifanyeje sasa?
Asanteee! Ila kwani siwezi kumroga na akanipenda?Ili kupata majibu kama ni wa ndoa ama ni mpita njia points ni zile zile
Kuanzia sasa usimtafute....usipige,usitume sms
Akiomba pesa usitoe
Sikilizia kama atakutafuta unatake over mahusiano,yani unamgeuzia kibao cha yeye kuanza kukubembeleza
Asipokutafuta jua huitajiki hapo,fanya mambo mengine
Life iko too short kuumizwa na mtu,tulia fanya mambo yako utapata mtakayependana
Sometimes unatakiwa kuchukua maamuzi magumu kwa usalama wa moyo wako kwa badae
Pendana na anayekupenda
Asanteee! Ila kwani siwezi kumroga na akanipenda?