Je, huwa unaota umepoteza kiatu/viatu?

Je, huwa unaota umepoteza kiatu/viatu?

Jana nimeota nyama ya nyoka imechomwa vizuri nikala😔
71208a0d-1f52-4376-8088-5a9fd97a5cec.jpeg
 
Mmejisahau walokole kwa kukuza mambo?
Inategemea
Yamkini alikua sahihi we ukaona amekuza mambo
Btw, si kila mtu anaweza kutafsiri ndoto
Pia mtu anaweza kutafsiri still bado qsikusaidie ....coz tafsiri sio issue ila ujumbe uliobebwa na hiyo ndoto!

Nb;mwisho wa ndoto , ndo hali halisi😃
 
Nilikipata kiatu changu, hapo vipi?😂
 
Kuota umepoteza kiatu cha mguu wa kulia mara nyingi hubeba ujumbe wa kisaikolojia au kiroho kuhusu mwelekeo wa maisha yako, maamuzi, au mahusiano.

Back
Top Bottom