Je huwa kuna mgomo halali?

Naytsory

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
2,192
791
Naomba msaada kwa wenye uelewa wa kisheria,
1. Je kuna mgomo unaoruhusiwa kisheria na mtawala akaridhika? 2. Mbona hata CWT waliomba kibali cha mahakama na hata baada ya kuhusiwa watawala walitumia authority yao kuwatisha? 3.Je ikitokea waliogoma kutotii amri ya mahakama ni hatua gani itachukuliwa dhidi yao? Naomba niwasilishe kwenu wakuu.
 
omo wa halal upo,upo endapo mwajil akishindwa tatua tatizo,kwa muda maalum walio kubaliana,aidha akikataa kukaa meza moja na mujiliwa wake.
 
labour law yetu inawalakini-ni as if hakutakiwi mgomo-maana ukisoma section 77(3) inafanya mgomo wowote kuwa badili

(3) In addition to the services designated in subsection (2), the

Essential Services Committee may designate a service as essential if
the interruption of that service endangers the personal safety or health of the population or any part of it.
 
Back
Top Bottom