Je huu ni uungwana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni uungwana?

Discussion in 'Jamii Photos' started by jchofachogenda, Jul 20, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Dada zetu msikubali kuburuzwa na wenza wenu kiasi hiki,mnajidhalilisha. 002.JPG
   
 2. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
   
 3. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Mmmmmmmmmmmmm
   
 4. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwan imekueje?kibint chenyewe kimefurahia mapoz isitoshe hapo kuna swimming pool
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mi naona mvulana na msichana wote akili hawana, hivi unadhani huyo mwanaume nae hajadhalilika hapo.Unapokuwa na msichana wako lazima umtreat decent na sio kuleta bange za Malawi
   
 6. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hii sio sahihi
   
 7. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kudhalilishana sana tuu ndugu zangu angalia huyu binti yuko na chupi nje jamaa yeye yuko na Jens na ti-shirt alafu kala raba chini. udhalilishaji huu
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Msimlaumu jamaa........hilo gauni lilikuwa kwapanai kwa binti.....yeye ndio analishusha.....mpiga picha alikuwa na haraka zake nae
   
 9. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  walikua swimmimng pool huyu mtu aliyeweka hii picha hapa ndio anamdhalilisha sasa na wala
  sio yeye aliyetaka kifanyike kitu kama hiki kama mtu kuoga ni kujidhalilisha basi tusiwe tunaoga hata ufukweni
   
 10. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu tatizo sio kuoga ufukweni au kwenye swimming pool, hoja ni kuwa mwanamke utakubali vipi kupiga picha ya namna hii?
   
 11. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  sawa kabisa,sasa wanamuonyesha nani chupi.ushamba huo.
   
 12. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  jamani hiyo ilikua privacy yao so y umeiweka jukwaani?
   
 13. Bolizozo

  Bolizozo Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Huu si uungwana kabsaaa! Hivi huyu kijana mshamba asipo muowa huyu demu mbumbumbu, si atakuwa amemwaribia future yake. Mtu gani wa maana atataka kuwa na mke mwenye history chafu kama hiyo picha inavyojionesha. Au itawezekana JK akamteuwa mwanamke kama huyo kushika nafasi yoyote ya madaraka?
   
 14. p

  prophecy Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchi unakuwa uchi pale unapoutafsiri, waungwana mimi natafsir uchi kuanzia kwa beach, club na sehem km hizo. Huyu kaonewa tu, nyie wenye nyuchi mnakutana nazo kila cku had barabaran sembuse hawa swimming pool
   
 15. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,801
  Likes Received: 6,311
  Trophy Points: 280
  Naona kama vile binti hakujua kama kafunuliwa. Na huyu aliyewapiga picha ni mtu wanayemfahamu - yet, kaja kuwauza humu
   
 16. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kumbe ukipost picha humu Jamii Forum unalipwa!!! basi kama ndio hivyo mimi nadai hela nyingi tu.
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Uliye post hii picha hapa ndo sio mstaarabu!
   
 18. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 648
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Foolish age!
   
 19. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  huyo dem kama house girl naona kapata chance anaitumia...
   
Loading...