Je huu ni uungwana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni uungwana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, May 18, 2011.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu kuna vitabia flan flan vinakera,mwenye navyo aviache.Mfano:
  1. Wenzio wanakula wewe unapenga kamasi
  2. Mko internet cafe wewe unaongea na simu kwa lisauti likuuuuubwa,inakera jamani
  3.Kujishaua,mara oh juzi nilivyokuwa Dubai,mara oh blackberry yangu bomba,kakuuliza nani?
  4.Kutegea bill bar,raundi yako ikifika unakwenda chooni
  5. Kuazima kitu cha mtu usirudishe
  Last but most important kinamama ambao baada ya kuliwa mzigo unamwacha mzee akanawe mwenyewe bafuni badala ya kutenga mapema maji vuguvugu kwenye beseni na sabuni ili mkimaliza umsafishe mzee kwa mapenzi huku unamshukuru kwa kukupa mahanjam.
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  La asha!huu si uungwana
  Ya mwisho nimeipenda
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  du kumbe ni jukumu la kinamama pekee?
  ivi kufanyiwwa mahaba ni jukumu la kinamama tu kwakina baba?
  wanawake wao hawataki kufanyiwa mahaba?


  umshukuru yeye kwa kukupa mahanjamu..yeye hastahili kukushukuru?
  au siyo wewe unamshukuru na yeye anakushukuru?ni mwanamke tu amshukuru mwanaume ?....pengne ata na kbamia chake?duhh i kali
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mi tabia znazonikera ni izi;
  1.kujichokonoa puani mbele za watu

  2.kutafuna chwaa chwaaa km mbuzi yaani ukiwa unakula mpaka jiran anajua yes jiran anatafuna sasa

  3.kuingiza kidole mdomon na kuanza kuchokonoa meno mezani wakat wenzako wanakula...domo umelipanua unaingiza kidole kwenye magego ....

  4.kunywa chai pyuuuuuuuuu km unapiga mluzi ..sasa apo ombea usimkute anakunywa uji utakimbia manake ni puuu ahh sjui wanavutaje..

  5.wanaume wanaotongoza kishamba..nina makontena 7 bandarini...ahh yule jamaa nimemkopesha milion zangu anirudishii..ahh lile hammar langu....yaan nguo mimi sinunui natoa oda tu thailand..ahh bila mimi yule sasa izi angekuwa kijijin..mimi nina akili sana nimeinua sana kampuni ile....

  6.nachukia mtu kujifanya much know sana yaani kila kitu anakijua ..kila kitu anataka akitolee mwongozo ata aina za ped wakat yeye mwanaume ..yaaan kila kitu anajua

  7.nachukia wadada wanaojifanya wazuriiiiii..kumbe ukimcheki ni bint remy ongala
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  imetulia sana
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  soon after kuduu hamna anayekujali iwe mke/mume
   
 7. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Mhmmm umalili kulongela goha kamwali kusi ne cha kulongela! usengwili sana
   
 8. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  we Rose we,kicheni pati ulifundishwa nini? na kwenye unyago je nyakanga wako alikwambia nini,au ndio nyie wa yes yes kindergarten masaki?
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  wanawake hapo ndo huwa mnanimaliza kabisa,mnapenda ligi, kushindana weeeee utadhani mko mbio za marathon,kwa nini msiwe cool kama sisi,uwe mnene,uwe mwembamba,uwe mrefu,uwe mfupi,uwe na sura ya The Finest,uwe na sura ya Remmy Ongara,pochi lako tu,anytime ukitaka mzigo unavuta tu.
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We unapotaka kunawishwa we ulishawahi kumnawisha mwenzako???!
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Temea mate chini Merytina,haiendi hivo hata siku moja,acha uzungu bana,kumsopsop mzee na maneno matamu baada ya kujikunja na kukufikisha muhimu sana,uliza mama yeyote mtu mzima atakwambia.Kumbuka kumfikisha mwanamke kileleni si kazi ndogo,yahitaji ujuzi,uzoefu,subira na utaalam wa hali ya juu,appreciation muhimu ili siku nyingine ajitahidi zaidi orgasm ziongezeke.
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  usengwil bambo!
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Lizzy si ndo maana ya foreplay bana? Mwanzoni mwanaume unashughulika kumwandaa mamsap na mwishoni anakusaidia kushusha mapigo ya moyo,au?
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  May 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Bishanga nawe nayo .....
  unafuatilia matatizo ya watu ya nini??
  si uachanenao .. unaelewa kabisa kwetu
  usanii ni muhimu bila kuringishia watu hawawezi ishi...
   
 15. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mmh inanikumbusha...
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mmmmmmhhhh oxford dictionary yangu iko wapi mwanawane?
   
 17. a

  andry surlbaran Senior Member

  #17
  May 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Bibie nimecheka mmh!!! u've made my day kwakweli
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wap kuna ligi kwenye ayo?
  au uji ligi?
  kingne kinachonkera ni;

  wanaume wasiopenda kuambiwa au kurekebshwa kwa kuzan yey ni mwwanaume basi apaswi kubishiwa au kuelekezwa anapokosea.....
   
 19. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  kibatoni cha senks kimeibiwa! senks
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Si uzuri kufanya hivyo kweli,la 4 na mwisho nimezipenda ghafla.
   
Loading...