sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 638
- 581
[emoji777]
Castle Lite bei imeshuka. Kwa hiyo ngoma droo!Kwa Mujibu Wa repot za mfumoko kusemeka kubakia 4% kama mwezi December 2017.
Wanafahamu bei ya bando za internet zimepanda bei.
Watumiaji Wa halotel chuo walikua wakilipa 500 na kupata mb 650 lakin kifikia Leo wanalipa 350mb kwa mia tano sasa husi mfumuko Wa bei?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Castle Lite bei imeshuka. Kwa hiyo ngoma droo!