Je, Huu ndio mwanzo wa Mwisho wa Barcelona?

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Wamepoteza michezo mitatu iliyopita....
Wameondolewa kwenye UEFA champions league...
Wamezidiwa Point nyingi na dalali za kuvuliwa ubingwa wa la liga ni dhahiri...
JE HUU NDIO MWISHO WA BARCELONA??
 
kila kitu kina msimu wake. Hata Dola ya America ipo siku itapotea mkuu
 
Tofauti na Afrika, Ni ngumu sana kwa Ulaya kuchukua ubingwa wa Ulaya mfululizo.
 
Kila uwongo unamwisho wake wamebebwa sn miaka 6 mfululizo,. Timu imekaa kutegemea mapenati na redcard ka azam bana,. Lol!
 
hapo kwenye azam umeharibu,soka na ngumi wapi na wapi!?

usiniamishe kwenye maada wewe baca kwishaa,. Azam gem 3 mfululizo wamuzi wanatwangwa kunanii hapo,. Hata babao simba ashanza kuwachukia wamemwalibia jana
 
Kujua mpira wanajua..
Ila kinachowaponza ni kubebwa..

Torres alisema mapema kabla ya mechi,kuwa timu bora hupoteza michezo pia!
 
siyo mwisho...barcelona bado itakuwa ni timu nzuri miaka mingi ijayo...kilichotokea hapa ni ushindani mkubwa kwenye mpira wa wenzetu...utashangaa pamoja na real madrid kupewa nafasi kubwa kesho wanaweza na wenyewe kutolewa...jiulize ni kwanini pamoja na kwamba brazil wana kikosi kizuri karibu kila kombe la dunia lakini hawalichukui mara zote...!
 
Chelsea kapigwa mechi zaidi ya 8, man u kapigwa mechi 4 za ligi kapigwa ucl na europa. Barca kafungwa mechi 3 tu msimu huu hadi sasa. Ukiangalia hapo utajua ipi ni ya kufa. Barca ni taifa jingine talk with data.
 
Wamepoteza michezo mitatu iliyopita....
Wameondolewa kwenye UEFA champions league...
Wamezidiwa Point nyingi na dalali za kuvuliwa ubingwa wa la liga ni dhahiri...
JE HUU NDIO MWISHO WA BARCELONA??

Wamepoteza 3 zipi? Jana wametoa droo au wamepoteza ??
 
No!mcmu umekua mbaya 2 kwa barca,ila sio kusema eti ndo mwisho wao!
 
kwenye mpira kuna kitu kinaitwa ERA,kulikuwa na era ya AC milan 80s man u 90s so era ya barcelona ndio inaishia.
 
hakuna aliyechukua ubingwa Wa UEFA Mara mbili mfululizo tangu mashindano haya mapya yaanze, na hakuna timu iliyowahi kuchukua ubingwa kutoka kundi alilokuwa Barcelona hata Mara moja tangu mashindano haya yaanze..
JE HISTORIA INASEMA NA INAWEZA KUTUONGOZA KTK HILOOO????
NEXT SEASON, ingawa bila mabadiliko ktk safu ya mbele na Kocha bila kuachac watu muhimu nje na kumweka Tello mmmh itakuwa bado mpaka abadilishe pale mbele apate TALL STRIKERS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom