Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Labda hukohuko spain ila katika UEFA ndo baba jen hiyo!mwakani wanaume JUve wanarudi kuleta heshima barani ulaya!man city wanaleta kocha mpya pale,the gunners nao wanajipanga!
Hao Barca kwanza robo fainali walikuwa wameshakalishwa na Milan...wamshukuru Refa tu