Je, huu mchoro unamaanisha nini?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,420
95,845
Jamani mimi nimeshindwa kuuelewa huu mchoro una maanisha nini kwa wana siasa 1:Maalim Seif
2:Lipumba
FB_IMG_1553086124787.jpeg

In God we trust
 
Wenye akili mnaitwa. Sisi wengine tuliwekewa vichwa ila akili haikuwekwa. By the way(swali nje ya mada), hivi akili inapimwaje hadi kujulikana Kama mtu anayo au hana?
 
Wenye akili mnaitwa. Sisi wengine tuliwekewa vichwa ila akili haikuwekwa. By the way(swali nje ya mada), hivi akili inapimwaje hadi kujulikana Kama mtu anayo au hana?

Kwanza unajua akili ni nini...? Ukishajua ndio uulize hilo swali sasa.
 
Back
Top Bottom