Je, huu mchoro unamaanisha nini?

Je, huu mchoro unamaanisha nini?

Write your reply...Bora kidogo kinachokuvusha salama kuliko kikubwa kinachozama🙄🙄🙄
 
Aliyekuwa anaishikilia CUF Zanzibar ameondoka na hivyo kukosa mwelekeo na inaanza kuzama (inaenda kupotea huko Zanzibar).
 
Mwingine huu
53419775_2041057792679023_6781208286210523501_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom