Je, huku ndiko kuokoka?

Huyo mama hana kanisa wala nini alikuwa kawateka wote watatu yani ndugu zangu wote watatu walikuwa wakiishi pamoja mmoja amechomoka kabisa mwingine naye kachomoka sasa kabaki huyu yani huyu kawa kama ndo kamkamata sana
Bas kwenu mna ubongo lojolojo
 
nimejifunza mambo mengi sana kwa walokole wengi wanachanganyikiwa na mafundisho wanayopewa, iko hivi mambo ya kiroho wanayaleta mwilini lazima uonekane chizi, wengi hajajua kudili na ulimwengu wa roho kwahiyo nikuchanganyikiwa kwakwenda mbele
 
mwokovu kabisa
 
Hamna kuokoka hapo, na hii ndio shida kubwa sana ya wengi wanaojiita walokole.. Hua ni watu wa kujihesabia haki na kujiona watakatifu fulani either kwa direct au indirect way.. Pili ni wabaguzi kama huyo nduguyo.

Even though huwezi kusema umeokoka wakati bado upo duniani kwenye mapambano.. Walio okoka ni wale waliopo mbinguni tayari watakatifu wa Mungu. Duniani tuna ongoka sio kuokoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahh baba hebu tupe huo udambu udambu bhana! Haina haja ya cku nyngne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahh umenchekesha et gwaji boy [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubarikiwe Ndugu kwa Somo jema sana....
 
Huyu nduguyo kakamatwa..na pepo la utambuzi.au roho ya upotevu..akimtambulisha mengi ya uongo..ili amtawale milele. Nakushauri..usibishane na mtu wa hivyo...mtagombana balaaa...nakushauri..mumuombee..mapepo hayatolewi kwa kubishana....ni maombi tu..usiache muombea kila siku..na mungu atamfungua..na kujua anahadaika na huyo mama wa kiroho!
 
malokoke ni mamtu mabaya kabisaa, tena hayafai na manafiiki makubwa, ebu ona mlokole Bashite kwa jinsi mikono yake ilivyo damu kwa kutoa na- dhulumu maisha ya watu kwa siasa huku akijipa moyo kuwa kwa 'siku moja nitaomba msamaha' …………………….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…