Je, Hisia za Mwenzio zinakuga za kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Hisia za Mwenzio zinakuga za kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Konakali, Sep 9, 2010.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nikiamini kuwa hili ni jukwaa la walio kwenye "age of majority", na wenye afya zao za kibaiologia, hivyo, wengi wetu wapo na wapenzi wao (yaani barafu za mioyo yao), na hata kama kwa sasa haupo naye, basi bila shaka ulipata kuwa na mtu wa aina hiyo katika maisha yako...! Lakini pia maisha ni mfululizo wa chembechembe za shida na raha, kugombana na kupatana, wasiwasi na kujiamini, nk...! Hivyo, bila shaka katika maisha yako na BF/GF/Mkeo/Mmeo, mara kadhaa kuna siku ambazo pengine mwenzio alipata kukuhisi juu ya jambo fulani.....! Sasa wadau nauliza iwapo hisia za mwenzio juu yako hupata kuwa ya kweli kwa kiasi gani? (Mfano: Kama mwenzi alipata kuhisi kuwa pengine unachati na mtu mwingine).
   
Loading...