Je, Hip Hop ni ugumu hadi kula kenge?

Je, Hip Hop ni ugumu hadi kula kenge?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,921
Reaction score
11,317
Hii story nimeikuta IG mda kidogo wasanii wakongwe wa Hip hop wakila nyama ya kenge. Je, huo ni ugumu wa hip hop au ni nini?

nikkimbishi999~p~CQIc7ISrZzc~8.jpg
nikkimbishi999~p~CQIc7ISrZzc~7.jpg
nikkimbishi999~p~CQIc7ISrZzc~6.jpg

nikkimbishi999~p~CQIc7ISrZzc~6.jpg
 
Attachments

  • nikkimbishi999~p~CQIc7ISrZzc~4.mp4
    1.2 MB
  • nikkimbishi999~p~CQIc7ISrZzc~2.mp4
    1.7 MB
Kenge kwenye dini ya uislam ni halali nyama yake kuliwa bila shaka yoyote.

HUKMU ZA WANYAMA NO: 7

Tulioruhusiwa Kula

•┈•✾•┈•┈••✾•✿•✾••┈•┈•✾•┈•

{5} KENGE

->> Inajuzu kula kenge kutokana na hadithi zifuatazo

1) Kutoka kwa Ibn Abbas amesema “ Kenge aliliwa katika meza ya Mtume ﷺ “ Bukhari : 7358 na Muslim : 1947

2) Mtume wa Allah aliulizwa kuhusu Kenge ni haramau ? Akasema hapana . Bukhari :5391

->> kwa ufupi inajuzu na ni halali kula kenge

✍️AbuNassor Al-Abriy وفقه الله وسدده
•┈┈•┈┈•⊰✿⊱•┈┈•┈┈•

KWA FAIDA MBALI MBALI ZA KILIMO NA MIFUGO TEMBELEA CHANEL YETU YA TELEGRAM KUPITIA LINK HII⤵

KILIMO NA MIFUGO •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•
 
Sasa mkuu kuna uhusiano gani kati ya kula kenge na hip hop?

Kwahiyo ukiona msanii wa bongo movie analiwa kiboga ina uhusiano gani na hiyo tasnia?
Kuliwa kiboga ni ulaini na sifa za bongo movie pia
 
Kenge kwenye dini ya uislam ni halali nyama yake kuliwa bila shaka yoyote.

HUKMU ZA WANYAMA NO: 7

Tulioruhusiwa Kula

•┈•✾•┈•┈••✾•✿•✾••┈•┈•✾•┈•

{5} KENGE

->> Inajuzu kula kenge kutokana na hadithi zifuatazo

1) Kutoka kwa Ibn Abbas amesema “ Kenge aliliwa katika meza ya Mtume ﷺ “ Bukhari : 7358 na Muslim : 1947

2) Mtume wa Allah aliulizwa kuhusu Kenge ni haramau ? Akasema hapana . Bukhari :5391

->> kwa ufupi inajuzu na ni halali kula kenge

[emoji3578]AbuNassor Al-Abriy وفقه الله وسدده
•┈┈•┈┈•⊰✿⊱•┈┈•┈┈•

KWA FAIDA MBALI MBALI ZA KILIMO NA MIFUGO TEMBELEA CHANEL YETU YA TELEGRAM KUPITIA LINK HII[emoji676]

KILIMO NA MIFUGO •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•
Aisee
 
Back
Top Bottom