Je, Hillary Clinton hana kifua kuona mauaji - check posture yake?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
article-1382649-0BE03DE700000578-462_964x642.jpg

Watching: President Obama was joined by Vice-President Joe Biden, left, Secretary of State Hillary Clinton, second right, counterterrorism chief John Brennan, standing behind Mrs Clinton, Defense Secretary Bob Gates, right, and Chairman of the Joint Chiefs of Staff Mike Mullen and National Security Advisor Tom Donilon (both back left)

Read more: Osama bin Laden dead: Photo of Obama watching as special forces shoot him | Mail Online
 
Hapa obama mbona kawa kama mpagazi??Huyo mjeda ndokakalia kiti cha Rais na seal nyuma yake!!!Kweli uongozi marekani unawekwa siyo unachaguliwa!!
 
Mama Clinton ameshtukia mchezo hapo....kumbe walikuwa wanatazama picha za Rambo!
 
Minaona kama juu ya laptop ya mama clntn kuna picha za ngona au?????
 
basi kafanana na bush ...au sio,??? na ,mie sijambo nimehuzunishwa na msiba tuu wallah,,,haya lakini hakuna atakaeishi milele kama kweli ndio kafa na hao waliomuuwa pia watakufa hivyo hivyo,,kwani tutaishi milele binaadam si kitu
Nilham,

Wajionaje hali?

Wa kwanza kushoto ni Makamu wa Rais - anaitwa Joe Baiden
 
hahahaha mwachunguza mengi jamani lool... labda ndio walikuwa huko walikomuua osama si sio town ni kwenye miti tuu huko jamanii,,,aishi osama peke yake ndio maana hakuna enternet,,hahahah
Je, hiyo LAN umeiona, achilia mbali Laptops? Hapo hamna cha Wireless ni ma-cable (UTP Cat6) kwa kwenda mbela na DLINK switch!!!
 
Mama Clinton ameshtukia mchezo hapo....kumbe walikuwa wanatazama picha za Rambo!

huyo aliye kulia kwa mama clinton anafanana na ralph emmanuel former chief of staff wa Obama na sasa ni mayor wa Chicago au nimemfananisha?
 
Hapa obama mbona kawa kama mpagazi??Huyo mjeda ndokakalia kiti cha Rais na seal nyuma yake!!!Kweli uongozi marekani unawekwa siyo unachaguliwa!!

Binafsi nimeupenda huo Mpangilio, hiyo ndiyo definition halisi ya Mgawanyo wa Majukumu..
Siyo kisa wewe Rais basi kila mahali wewe ndiyo uonekane uki-lead...
 
Binafsi nimeupenda huo Mpangilio, hiyo ndiyo definition halisi ya Mgawanyo wa Majukumu..
Siyo kisa wewe Rais basi kila mahali wewe ndiyo uonekane uki-lead...

Kimsingi hawa jamaa wako juu sana kimkakati.No longo longo.
 
Back
Top Bottom