thanks bloodKwa ustaarabu mzuri ni kusepa kimya kimya baada ya kufanikiwa kufika sehemu salama kwako mtumie ujumbe ukimuelezea sababu iliyokufanya ukaachana nae, then badilisha namba kuepuka usumbufu wa mara kwa mara
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kwanza kabisa poleni na majukumu wakuu lakini pia HAPPY EASTER,
Kama tittle inavyosema hapo juu kwamba ni sahihi kama mtu wako humuelewi tena au umechoshwa na matendo yake [boyfriend&girlfriend] yaani n mwendo wa maumivu per day n fresh kumchana kuwa "sikuhitaji tena" au ni bora ukasepa kmy kmy...?
Naomba tusaidiane mawazo hap
Umenena vyema mkuuKamwe usije ukajaribu kuvunja penzi au kumuacha mtu ukiwa una hasira,furaha,umemchoka au maneno ya watu utakuja kuumia vibaya mnoo siku ukigundua ulifanya makosa baada ya akiri zako kukaa sawa .
Njia pekee ambayo ni bora ya kabla ya kuvunja mahusiano ni kupeana likizo kwa kipindi takribani miezi 6 au mwaka baada ya kujitafakari na mwenzio baada ya kila mmoja akiri kumkaa sawa na kuona umuhimu wa mwenzie
Umeshakunywa uji mokaze?