Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikesnyingi zaidi ya likes
Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
Je hili ni anguko la Diamond?
mkuu unatumia technoWakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikesnyingi zaidi ya likes
Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
Je hili ni anguko la Diamond?
Ni kweli utawala wake kwenye bongo fleva utafika mwisho ila sio kama mnavyolazimisha nyie iwe. Hivi unajua wimbo wa Justin Bieber "Baby" ndio wimbo unaongoza kwa DISLIKES Duniani ?Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikesnyingi zaidi ya likes
Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
Je hili ni anguko la Diamond?
Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikesnyingi zaidi ya likes
Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
Je hili ni anguko la Diamond?
We upo kwny kundi ganiAnapendwa na wajinga wengi kuliko werevu
We upo kwny kundi gani
Ni kinyume chake.Anapendwa na wajinga wengi kuliko werevu