Mkomavu JF-Expert Member Jan 25, 2016 11,753 16,776 Jun 8, 2017 #2 Fumbo la imani ila kitu kinacho fanana na hicho nimekila jana usiku
Allelujah JF-Expert Member Mar 9, 2017 452 414 Jun 8, 2017 #3 Bange ndo tunda lililokatazwa..jaribu kuvuta utajua mema na mabaya..
21 February JF-Expert Member May 19, 2017 3,277 2,807 Jun 8, 2017 #6 Allelujah said: Bange ndo tunda lililokatazwa..jaribu kuvuta utajua mema na mabaya.. Click to expand... bange ndio tunda gani hilo
Allelujah said: Bange ndo tunda lililokatazwa..jaribu kuvuta utajua mema na mabaya.. Click to expand... bange ndio tunda gani hilo
Allelujah JF-Expert Member Mar 9, 2017 452 414 Jun 8, 2017 #7 TopUp said: bange ndio tunda gani hilo Click to expand... Toa Adress utumiwe....
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,010 28,111 Jun 8, 2017 #9 HILI APPLE LA LEO MBONA SILIELEWI ELEWI
xav bero JF-Expert Member Nov 24, 2016 5,134 7,324 Jun 8, 2017 #10 Kulikua hakuna tunda ila kuna uwepo wa Mungu maana eden ni uwepo wa Mungu
I isaack kalinga Senior Member Jun 5, 2017 162 47 Jun 8, 2017 #11 Soma bibilia mwanzo sura ya pili na ya tatu uone kama kuna pumba iliyoweka hapo
dripu JF-Expert Member Jan 30, 2017 1,310 1,140 Jun 8, 2017 #12 Hiko tunda tamu sana hasa ukila na maganda