Je, Hili nalo lina Ukweli....?

Asprin mbona maana yake rahisi sana "NIMEKUPOTEZA"
 
Last edited by a moderator:

Huyu mwanamke kama nigewahi kuzaliwa ningemuoa. Nina hakika ningemuweza
 

basi sasa umenielewesha because i thought it relates with yourlife and the way unavyo respond is as if yes. ok usjali na nashukuru kwa kuniondolea uchungu sasa naweza kwenda lala manake sipend mtu anyanyasike sijui kwanini aisee huwa naumia sana juu ya hali kama hiyo. nisamehe na namuomba mod aondoe post zangu zilizokureflect weye am so sorry.
 
but if now he is coming back, wajiumiza kwa kitu gani tena dearest? mbaya ni kama hajajua but kama kajua itmeans atabadilika as days go. usitegemee abrupt change has kwa binadamu ni ngumu sana unless awe ni mtu wa kupenda kupretend.

Hahahah gfsonwin bana. Haya twendelee na mada BUT jua kwa sasa sifit kwenye hii situation aisee namshukuru MUNGU.
 

No no gfsonwin usiziondoe kwani sitasaidia wengine kuelewa kuwa wasichanganyikiwe na wao. Hujanikwaza mpendwa shaka ondoa kabisa. Nadhani nitakuwa nimekuchanganya nilioposema akili yangu haifanyi kazi niko kama Zombie (Hii ni kwa sababu ya My Soulmate) bana si kwa hii thread. Please be at peace
 
Nakiri kwa mara ya kwanza JF akili yangu imeshindwa kuelewa unachomaanisha hapa Babu yangu. Tafadhali nisaidie!

Jamani namtafuta Soulmate!

Nasema hivi,

Watu wa enzi hizi za kwenu wanatumia msuli mwingi kufanya vitu virahisi sana.....Kwa nini utumie nguvu nyingi kufanya analysis ambayo ki-ukweli inaweza isiwe na tija? Kwani inzi huwezi kumwona kwa macho hadi uende kuazima visaidizi??

Wewe endelea kumupa dozi tu.... kama akicheua si utaona dada???


Babu DC!!
 
Hahahah gfsonwin bana. Haya twendelee na mada BUT jua kwa sasa sifit kwenye hii situation aisee namshukuru MUNGU.

ok hongera kwa hilo. mimi bado nasema ukweli kabisa kuanza kupigiahesabu ya unachokifanya in the name of love katika mahusiano ni kutaka kuyavunj mahusiano husika ma dearest.
 
Nilicho na hakika nacho ni kwamba mapenzi ni kama mazingaombwe mara nyingi hayawi na hiyari...Yanagusa kule tusipoweza kupadhibiti. Ni kama nguvu tusiyoweza kuiona na kuidhibiti!!

Nachosema ni hiki: Hii nguvu tusiyoweza kuidhibiti moja kwa moja (mapenzi) tunaiundia mfumo unaoitwa mahusiano ili angalau tuyadhibiti...........Ndipo hapo tunaweza kuyapima kwa kutumia mawasiliano, tunavyotendeana, tunavyochukuliana udhaifu wetu, tunavyojali na tunavyokabili changamoto zinazotuhusu kwa pamoja.

Kwa hiyo tusiweke hofu sana kwa jambo tusilokuwa na uwezo tutamkaribisha shetani (as per gfsonwin)...Msingi tufurahi vitu vipya katika mahusiano baada ya i love you i love you kupungua.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mwanamke kama nigewahi kuzaliwa ningemuoa. Nina hakika ningemuweza

sikupi like manake waweza kuwa ni Gson wangu weye. hebu niende jukwaa la wakubwa huku nshaanza kuona ishara za kukutana na watoto wangu site mbaya.
 
kuna msemo ukimchunguza kuku hutamla
au ukimchunguza nyoka utakuja sema ana miguu
 
Jamani, kila kitu ni muhimu kufanyiwa analysis, kwa sababu bila kufanya huo uchunguzi unaweza ukadhani mambo yako sawa kumbe kulishaingia mushikeli zamani bila wewe kujua.
Naamini ni muhimu kwa wote wawili kuinvest, hata kama siyo equal amount ya care, basi iwe proportionate amount ambayo itaridhisha pande zote. Ebu fikiria, "una significant other" wako ambaye kweli unajitoa na kujitahidi sana kumpa tough ya nguvu, lakini in return yeye anakuchukulia kama nobody, unamjali na unajali mambo yake, lakini kwa yako yeye hajali; hivi utajisikiaje?
Bila kufanya uchunguzi na kugundua dalili jamani utajuaje kama umepigwa chini?
 
He! gfsonwin apa mnaongea nn?

jaman ma stlo wivu hata kwenye post tu? kumbe wahofiwa kuibiwa? no nilikuwa namwambia platzoon kuwa asiseme kuwa angewahi kuzaliwa angenioa mimi ni mama kwake.
 
Last edited by a moderator:
jaman ma stlo wivu hata kwenye post tu? kumbe wahofiwa kuibiwa? no nilikuwa namwambia platzoon kuwa asiseme kuwa angewahi kuzaliwa angenioa mimi ni mama kwake.

Hatuna undugu wa damu..acha ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…