Mdogo wangu MJ1,
Enzi zetu kila mtu alikuwa anatimiza wajibu wake, kuanzia shambani hadi kwa room.....Hatukuwa na mambo ya maneno maneno na longo longo.....Hizi technology zenu zitawamaliza na pressure!
Bibi ataachaje kujua nampenda 99.999% wakati matenga ya matunda hayaishi ndani na magunia ya mkaa hayashuki nusu, ...achia mbali kujituma kwenye kutelekeza amri ya kuijaza dunia??
Nawashauri hivi...Just be yourself and give whatever you can to keep your love!! Ikishindikana hapo...basi chapa lapa mapema.....Nimeeleweka??
Babu DC!!
Mdogo wangu MJ1,
Enzi zetu kila mtu alikuwa anatimiza wajibu wake, kuanzia shambani hadi kwa room.....Hatukuwa na mambo ya maneno maneno na longo longo.....Hizi technology zenu zitawamaliza na pressure!
Bibi ataachaje kujua nampenda 99.999% wakati matenga ya matunda hayaishi ndani na magunia ya mkaa hayashuki nusu, ...achia mbali kujituma kwenye kutelekeza amri ya kuijaza dunia??
Nawashauri hivi...Just be yourself and give whatever you can to keep your love!! Ikishindikana hapo...basi chapa lapa mapema.....Nimeeleweka??
Babu DC!!
MwanajamiiOne mie naona kujiuliza sio vibaya haswa kama unaona umejitoa afu mwenzio wala haonyeshi kurespond.....afu hii sidhani kama ina uchaguzi naona itakujia automatiki kuwa heee mbona kama mwenzangu hatuko pamoja.....inawezekana ndio tabia yake labda kama alivyosema Kongosho kuwa akishasema nakupenda kipindi cha kukutongoza hatakaa arudie tena hilo neno.....weweunabaki kila siku kumwambia i love you darling mwenzio kimya.....hapa lazima ujiulize aisee haijalishi kama unahatarisha mahusiano au laah!Lakini mpaka uanze viuchunguzi hivyo nini huwa kinapelekea? Si kwa kuwa unaona mwenzi wako amebadilika kiana kiasi cha wewe kuanza kujiuliza maswali? Na once ukishaanza kujiuliza ndo tunaambiwa unakaribisha problems kwa relationship yako sasa je tusijiuliza hata tukiona mabadiliko?
mmh, sasa kwenye mahusiano mapya napo mtu anakuwa kabadilika nini wakati ndo kwanza mnaanza?
Mie hiki hukiita kihoro cha mapenzi, kwa ufupi hakina maana sana huvuruga.
Afu kama vile umeleta hii mada muda muafaka kweli, basi tu.
sweetlady, aksante kwa kunisaidia kuifafanua vema thread hii. Hiki ndicho ninachojaribu kukisema hapa kuwa hao walioandika hayo makitu eti kujiuliza ndio kunaleta problems siwaelewi kwa sababu panapo mabadiliko katu haiepukiki.MwanajamiiOne mie naona kujiuliza sio vibaya haswa kama unaona umejitoa afu mwenzio wala haonyeshi kurespond.....afu hii sidhani kama ina uchaguzi naona itakujia automatiki kuwa heee mbona kama mwenzangu hatuko pamoja.....inawezekana ndio tabia yake labda kama alivyosema Kongosho kuwa akishasema nakupenda kipindi cha kukutongoza hatakaa arudie tena hilo neno.....weweunabaki kila siku kumwambia i love you darling mwenzio kimya.....hapa lazima ujiulize aisee haijalishi kama unahatarisha mahusiano au laah!
Aksante Babu DC. Unaona hapa pa kutimiza wajibu ni pa muhimu. Wengi tunaelewa na kusikia malalamiko mengi ya wapenzi kutotimiza wajibu wao. Sasa wewe ujitoe tu ilhali humwoni 'mpenzi' akiwajibika impasavyo, si mezani si kitandani?? Afu bado twaambiwa tusifanye analysis ya how much we are investing??
Ah mie ninachoka kabisa aisee!
............ Unfortunately yes I used to ingawa nowdays ninajitahidi ku'cheua' ila siwezijisifia kuwa nimefuzu itakikanavyo
Hahahahahahahahah,
Tatizo dada yangu MwanajamiiOne mnatumia microscope kumwangalia inzi...Kwa nini usimwangalie kwa macho yako tu hata bila miwani ya kukuzia??
Babu DC!!
Hahahahahahahahah,
Tatizo dada yangu MwanajamiiOne mnatumia microscope kumwangalia inzi...Kwa nini usimwangalie kwa macho yako tu hata bila miwani ya kukuzia??
Babu DC!!
Nakiri kwa mara ya kwanza JF akili yangu imeshindwa kuelewa unachomaanisha hapa Babu yangu. Tafadhali nisaidie!
Jamani namtafuta Soulmate!
MJ1 nimeona hapo kwa solimeti tu baaaas
.......Nakubaliana na wewe gfsonwin si vema kuchunguza mwenzio amekutendea yepi mazuri kulinganisha na wewe ulivyotenda but kwa hali ya ubinaadamu na maisha ya mahusiano mengi kwa wakati wa sasa kweli utavumilia kuona kuwa unamjali mtu ambaye unahisi ana mambo mingi zaidi ya wewe? (tukumbuke kuwa siku hizi hata busara ya ku'yahandle' hayo mambo mingi kisiri pasipo kumuumiza mwenzi wako imetupita kisogoni, kuna kujisahau, kuna kupitiwa na kunogewa na kazi za nje zaidi ya mwenzi wako (Kwa wale ambao wana hizo mambo). Sasa suppose una mtu wa hivi kanogewa na kujikuta unknowingly anapoteza uelekeo, wewe kutwa kucha unambebea mbelekoni kwenye kaniki yenye maandisho yasoonekana yasemayo in the name of LOVE!
Aisee analyses katika maisha ya hivi haiepukiki aisee. Mimi hata siwaelewi wazungu huwa na maana gani wakiandikaga makitu yao!
Kabisa! Mahusiano yasiyo na reflection ni mfu! Yaani unaenda tu kama kipofu jamani? Of course sio kupima kwen mzani kama mchele!Kaizer hebu sema kwa sauti wakusikie.!
Ingawa wao wanasema kuwa mwanzo wa evaluation ndo mwanzo wa matatizo mie nasema mwanzo wa evaluation ndio mwanzo wa ufumbuzi wa matatizo aisee.
sasa ma dearest this is the silent killer of yourself. unaua ujasiri wako, imani yako,afya yako na kila kitu kwa kuweka vitu moyoni. tena magonjwa unayatengenezea chumba na sebule nafsin mwako.
Jifunze ku pour out stuffs by trusting yourself na ka kuona kuwa no matter one has said or done to you but you are just MJ1 and you have your potentials ambazo wengine hawana. chukulia mtazamo wa mtu mwingine kama siyo wa mashiko sana juu yako kwani Mungu aliyekuumba alikusdia wewe uwe wewe and that has never changed and it won't untill you die . tena jivune na kauona kuwa potentials ulizo nazo siku ukifa utaenda nazo watabaki nazo chache wale ambao uliwakusudia wawe nazo
Hapana godsonwin nadhani kuna sehemu hujanielewa pengine nimekumislead mydia. KWa hii thread, am trying to be objective as I can. Chochote ninachoandika hapa HAKIHUSIANI na maisha yangu hata kidogo. Am a happy bird now with a lot of freedom of expression and love.aisee nakuonea huruma sana na sijui nikusaidiaje japo siyo lugh nzuri sana kuitumia. jiamini my dia, hivi huyu mtu hanajema hata moja? tatizo lako unategemea kuona mabaya tu kutoka kwake na maisha jinsi yalivyo yatakuonyesha mabaya tu ma dia. hebu badilisha life style yako, ondoa lile daraja la mume na mke jenga la rafiki na msiri ambaye utakuwa tayari kuongea naye pengine yaweza kusaidia.
sweetlady, aksante kwa kunisaidia kuifafanua vema thread hii. Hiki ndicho ninachojaribu kukisema hapa kuwa hao walioandika hayo makitu eti kujiuliza ndio kunaleta problems siwaelewi kwa sababu panapo mabadiliko katu haiepukiki.
Aksante Dada wengine sie kujieleza sifuri mwe!
Aksante sana gfsonwin, my man is helping me in that ndio maana ninasema naanza kuelewa somo taratibu. But I used to bank them aisee yaani ile ego ya... si ni mtu mzima anaelewa anachokifanya kinaniumiza, ameamua kufanya makusudi yaani nilikuwa siulizi hadi vikinijaa naanza kupiga mahesabu ya analyses zangu kisha booom, mwenzangu naona siwezi, shika zako nami zangu!