MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Bora nala ugali wangu nashiba, hayo ya kumchunguza bata wal sitomla!
Bora nala ugali wangu nashiba, hayo ya kumchunguza bata wala sitomla!
ni kweli kabisa, swali baya sana hili
ananipenda kama ninavyompenda?
Aisee on point kabisa, utaanza chunguza na mara ngapi anakusalimu ukilinganisha na wewe, mara ngapi anasema 'miss u' ukilinganisha na wewe na anawasiliana vipi na rafiki zake ukilinganisha mna wewe.
Ukiona wee vyako vinazidi unaanza kukata tamaa.
Nimekoma, sifanyi hizi analysis tena.
thanks MJ1
Lkn pia, penzi lako lisiporudishwa kuna raha gani?
Naona hiyo wanaitumia sana wanaume kuliko sisi, wengi wanaogopa kutupenda back au kuonesha mapenzi kisa; tutawapanda kichwani.
Mapenzi ya kutegeana yanaudhi!!!!!!
Kaka Kaunga wakati nasoma hiyo kitu nlikuwa nakupicture wewe dada yangu hahaha ni kweli swali lako ni la maana sana.... Raha ya penzi lisilobalance iko wapi? Na utajuaje kama halijabalance kama sio kwa kufanya hii analysis wajameni?
Kweli kabisa Kongosho nimemaanisha hizo analysis hizo hizo. Sasa kuna njia nyingine ya kutathmini maendeleo ya penzi lenu!? Au ndo utachukulia hakuna mabadiliko?
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Dada Kaunga wakati nasoma hiyo kitu nlikuwa nakupicture wewe dada yangu hahaha ni kweli swali lako ni la maana sana.... Raha ya penzi lisilobalance iko wapi? Na utajuaje kama halijabalance kama sio kwa kufanya hii analysis wajameni?
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
gfsonwin, kwanza nakubaliana na wewe, hutakiwi kuangalia mambo hayo.
Lakini moyo ukifika bei unakuwa unatamani mtu akujali kama unavyomjali, hapo ndio unajikuta unaanza ufukunyungu kama huu.
Si kila mahusiano unaweza fanya mambo ya aina hii, inafanyika bila hata kufikiri pale tu unapopapenda.
Kuna mtu mwingine mnakuwa na mahusiano wala hushtuki, sijui nisemeje but 'moyo msaliti afu mbinafsi sana'
Umesema vema Kongosho......mara nyingi sana hivi viuchunguzi vikianza na mapenzi huanza kulega lega hapo hapo.....unajiuliza na kujijibu mwenyewe mwisho wa siku unapunguza kumsalimia/kumjulia hali mwenzi wako.....mimi naona kama umeamua kufanya fanya bila kutegemea chochote!
labda Kongosho tujiulize swali la msingi sana juu ya shina la hoja hii. what are the indicators that your love is growing? or say is dying? tukiweza kupata jibu hapa tutajua nini cha kufanya