Je, hii picha ni dalili ya maendeleo?

Je, hii picha ni dalili ya maendeleo?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,198
Reaction score
64,648
484099_457089837643020_1558096201_n.jpg

Mia
 
Kama siyo botswana, labda namibia, na hii unaweza kuta ni royal place, maendeleo ni kitu tofauti na mila mkuu.
 
Ooyooo huu ni mitego ya kibishara ya kuwavuta watalii ili pato la taifa lipandi na dizaini hii ndo wanavo penda sana watalii tena anatoka ulaya sembuse sisi tuko hapa na kamasi inatutoka wala hatuijui iko wapi na sisi kazi yetu na maendeleo ni kumchunguza huyo mmiliki aina gani haya ndo teja sisi waswahil ni kama husuda
 
Back
Top Bottom