Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,693
Ndugu zangu wanaJF Mimi ni Mwanaume almost 21 years ila tokea nijifahamu Nimekuwa na Kilo 56 yaani toka nikiwa na miaka 16 mpaka sasa nina miaka hiyo kilo zangu ni Hizo na siumwi chochote am very Fine Je Hii ni sawa? kwa mtu wa umri kama wangu Kuwa na Kilo kama Hizo?
Nipeni idea zenu wanandugu!
Ahsanteni
Nipeni idea zenu wanandugu!
Ahsanteni