thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 533
- 233
Hii ngumu ila ni rahisi pia,mwahitaji muda wa kuongea zaidi na kuweka mambo yenu sawa
tatizo huo muda ndo hawana wa kukaa chini ......mi nilikuwa natarajia wangeweza kuongea kwenye simu kumbe hata simu ni dk 15 basi duh....