Je hii ni sawa: I am busy so as my lady..

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Ingawa tuna plans za marriage, lakini tatizo and i am worried about this ni kua, we are very busy and we barely communicate through the day, we only talk or text each other for only 15 mins na hiyo ni saa 4 usiku tu, ila all the day kila mtu na hamsini zake, on the weekends labda we meet jumamosi tu, kila mtu na hamsini zake, kuna wakati really na miss ile soft part of a woman in her, maana wote ni watu wa kazi i mean kila mtu anapigana haswa..sasa nafikia mahali nawazia hii ndoa itakua ya namna gani kama mwanamke niliye naye kama dume tu kwenye utafutaji...ingawa tunapendana na tuna future plans..really nahitaji kupata ile nafsi ya pili ya mwanamke laini na mbembelezaji sio 24/7 ni kua serious tu...what should i do...
 
Talk to her mwambie concern yako,na jitahidini kufix dates au jinsi ya kua closer
 
Too bad she travels alot and i do the same, na hapo fixing dates inakua issue, if you say tuongeze siku inamaana niue sunday ambayo lazima nikwende kutimiza sabato, it is a problem..sina nia ya kuachana nae, nahitaji njia sahihi ya kutatua tatizo,
 
Nenda naye church hiyo sunday, then mkitoka mwende beach au sehemu yoyote tulivu mpunge upepo. Jioni muende dinner sehemu au kwako na mwisho muangalie movie pamoja. Week days continue to be busy as bees.
 
Eh poleni sna inabidi mtafute njia ya kusolve hilo tofauti na hapo ninachoona ni nyie kuendelea hivo baada ya ndoa af kuna mtu ataishia kucheat (hasa we unayehisi kumiss kubembelezwa).
 
Hiyo ndiyo solution, kukaa chini na kuongea kwa kina na kuangalia namna ya kufanya ili waweze kupata muda zaidi wa kuwa pamoja kama wachumba katika safari yao ya kufunga pingu za maisha. Na hili si kwa mwanamke tu kupunguza labda masaa yake ya uwajibikaji bali ni kwa wote na kama hakuna muafaka basi ndoa yenu haitakuwa na maisha marefu bali itakuwa ni kuongeza takwimu katika zile ndoa za miezi 6 mpaka miezi 18 halafu unasikia "Wanandoa wameshindana tabia" na ndoa inafikia tamati. Tumeshaona hapa wanachama mbali mbali wakilalamika kwamba wamo kwenye ndoa lakini wanajiona wapweke. Kila la heri katika mazungumzo yenu na mwenzio.

Talk to her mwambie concern yako,na jitahidini kufix dates au jinsi ya kua closer
 
Hapo ni kuongea na mupenzi wako tu juu y kutenga muda wa ziada wa mapenzi as long as ushasema huwa wammis na huna lengo la kuachana naye.just talk to her friendly!!
 
Ingawa tuna plans za marriage, lakini tatizo and i am worried about this ni kua, we are very busy and we barely communicate through the day, we only talk or text each other for only 15 mins na hiyo ni saa 4 usiku tu, ila all the day kila mtu na hamsini zake, on the weekends labda we meet jumamosi tu, kila mtu na hamsini zake, kuna wakati really na miss ile soft part of a woman in her, maana wote ni watu wa kazi i mean kila mtu anapigana haswa..sasa nafikia mahali nawazia hii ndoa itakua ya namna gani kama mwanamke niliye naye kama dume tu kwenye utafutaji...ingawa tunapendana na tuna future plans..really nahitaji kupata ile nafsi ya pili ya mwanamke laini na mbembelezaji sio 24/7 ni kua serious tu...what should i do...

Tafuta asiye na kazi utamkuta home masaa 2000!
Tatizo lenu vijana mnapenda vy kunyonga, wenzio wamsomeshe afu we uje ubwedelee tu!
Na ukizubaa tu atasafiri kikazi Arusha wiki tatu!
Nakuapia jiandae zamu ya kunyonyesha.
 
Ndege wenye rangi moja huruka pamoja
 
Hii ngumu ila ni rahisi pia,mwahitaji muda wa kuongea zaidi na kuweka mambo yenu sawa
 
Msikilize Kaunga ana point,vinginevyo mna wapenzi wengi kama mikia ya pweza
 
Last edited by a moderator:
Ingawa tuna plans za marriage, lakini tatizo and i am worried about this ni kua, we are very busy and we barely communicate through the day, we only talk or text each other for only 15 mins na hiyo ni saa 4 usiku tu, ila all the day kila mtu na hamsini zake, on the weekends labda we meet jumamosi tu, kila mtu na hamsini zake, kuna wakati really na miss ile soft part of a woman in her, maana wote ni watu wa kazi i mean kila mtu anapigana haswa..sasa nafikia mahali nawazia hii ndoa itakua ya namna gani kama mwanamke niliye naye kama dume tu kwenye utafutaji...ingawa tunapendana na tuna future plans..really nahitaji kupata ile nafsi ya pili ya mwanamke laini na mbembelezaji sio 24/7 ni kua serious tu...what should i do...

Ukisha muoa, atakukabidhi majukumu yako ya kutafuta na yeye atajikuta anajikita zaidi kwenye majukumu yake aliyopewa na MUNGU kama mke.

Kwa sasa hivi mwache aendelee kutafuta, maana marriage plans mlizonazo bado ni za kusadikika chochote kinaweza kutokea halafu akakosa vyote.
 
Nenda naye church hiyo sunday, then mkitoka mwende beach au sehemu yoyote tulivu mpunge upepo. Jioni muende dinner sehemu au kwako na mwisho muangalie movie pamoja. Week days continue to be busy as bees.
I shall consider that,
 
Ukisha muoa, atakukabidhi majukumu yako ya kutafuta na yeye atajikuta anajikita zaidi kwenye majukumu yake aliyopewa na MUNGU kama mke.

Kwa sasa hivi mwache aendelee kutafuta, maana marriage plans mlizonazo bado ni za kusadikika chochote kinaweza kutokea halafu akakosa vyote.
Nafikiri itakua hivyo maana anazungumzia watoto tu mara nyingi, so i hope atarudi kwenye origin yake ya kua mwanamke kamili na si dume kama sasa..
 
No one is busy in this world, it's just a matter of priorities.
Just thinking loud.....:beer::beer::beer:
Mkuu unaweza kuwa sahihi kwa wakati fulani lakini unaweza pia kutokua sahihi kwa nyakati fulani, but nashukuru kwa mchango wako, jambo kubwa ni kupata suluhisho maana mkuu, as a man, unakua very tired na unahitaji attention flani ili walau u cool off na kuanza siku tena ukiwa na nguvu lakini unakosa hizo huduma adimu..
 
Tafuta asiye na kazi utamkuta home masaa 2000!
Tatizo lenu vijana mnapenda vy kunyonga, wenzio wamsomeshe afu we uje ubwedelee tu!
Na ukizubaa tu atasafiri kikazi Arusha wiki tatu!
Nakuapia jiandae zamu ya kunyonyesha.

Hahahahaha, kunyonyesha tena????!!!
 
Back
Top Bottom