Habari za leo Wakuu
Nimeamua kuuliza kupitia jukwaa hili maana DUNIA ya sasa imebadilika
Nimepokea meseji toka Airtel kwa mara ya 3 hv au zaidi
Inasomeka hv
"Dear Customer, Your number is partially registered. Send your ID; Driving license, Voters, National OR Passport for FULL registration to WhatsApp 0786670856"
Ningeomba kufahamishwa kama huu ni ujumbe rasmi na hiyo ni namba sahihi kutuma hzo documents
Asanteni
Maledhi