happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Pole sana ni dalili mbaya hizo una Jini Mahaba mwilini mwako linakutia nuksi na bahati mbaya itabidi ufanyie dawa ilil apate kutoka mwilini mwako na asiponaomben msaada wa mawazo
sijui nifanyeje mwanzo nilikua natabia ya kuota nasex na mwanaume lakin ninakama mwaka naota nasex na mwanamke mwenzangu nimejaribu kuomba hali hiyo inapotea kama cku 2 inarudi tena!!! hii imenipelekea kuvuruga mahusiano yangu mengi..... ninaweza pata mchumba tukavuragana bila sababu ya msingi hata kama tutakua tumetambulishana hata kutolewa mahari
nimekua na bahati ya kupata wachumba lakini mambo yamekua yakivunjika bila hata sababu yoyote
Ndugu naombeni msaada wa mawazo hata ushauri pia kweli ninatatizo sana nashindwa nitoke vp nitashukuru
Mkuu Ndibalema Hujambo lakini?MziziMkavu popote ulipo tafadhali.
unaendekeza uma.laya tu, ndo maana unabadili wanamme. Bora ufuate ndoto zako uwe msagaji live live.
Acha kulala unawaza ngono, ukishindwa sana nyetuka.
Pole sana ni dalili mbaya hizo una Jini Mahaba mwilini mwako linakutia nuksi na bahati mbaya itabidi ufanyie dawa ilil apate kutoka mwilini mwako na asipo
toka hutoweza kuoelewa wala kupata mtoto. Na wakati mwengine anakugombanisha na wapenzi wako au marafiki zako anataka uwe
peke yako, pesa ukipata huwa hazikai unakuwa na hasira pasipo na sababu, siku zako za mwezi zinabadilika bila ya sababu muhimu
unachoka choka mwilini una gesi tumboni zisizo kwishaunakuwa mtu usiepata usingizi unakuwa wakati mwengine ni mtu mwoga makali
bila sababu unaumwa na kichwa kwa vipindi homa zisizo kwisha hizo ni baadhi ya dalili za kuwa wewe una Jini mahaba. Ukitaka
matibabu kutoka kwangu nitafute kwa wakati wako ila kwa gharama ya pesa unaweza kunitafuta mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
Mkuu Ndibalema Hujambo lakini?
usiseme hivyo kweli ninatatizo nasio maraya napata mchumba kabisa na tunafikia process nzuri za kutaka kuoana vinaibuka vikwazo unakuta namkataa tu au yeye ananikataa bila sababu baadae kila mtu anaanza kujuta sasa umaraya wangu uko wapi???
baadhi ya dalili ni kweli!! bt nimelipata wapi?
ndicho ulichokuwa unataka kusikia, sasa umeridhikaaaa.
lakini mi nimeomba msaada wa mawazo na ushaur pia hata ww unaweza kunishaur
acha kulala unawaza ngono.
Kabla hujaingia kwenye mahusiano mapya, hakikisha sababu zinazokuingiza kwenye mahusiano hayo ni sahihi.
Sio unatongozwa tu, unakubali hata bila kujua unakubali nini. Utaishia kumegwa, unakuwa frustrated unaanza kusaka mchawi.
Unajiroga mwenyewe kwa kuanzisha mahusiano unstable huku ukitarajia ndoa.
Usijaribu kuomba. OMBA. Kwa moyo wako wote, kwa akili zako zote na kwa mwili wako pia. Funga na kuomba kwa dini yako, na utafute msaada wa viongozi wako wa dini. Usijiendekeze.
Limekupenda hilo Jini Mahaba miaka mingi tu tangu ulipokuwa unasoma shule unaota unafanya mapenzi na mtu usiye mjuwa wakati unaota unafanya mapenzi na mpenzi wako wkati hauko pamoja nae na hata ukiwa na mpenzi wako mukiwa munafanya mapenzi utakuwa hujisikii raha kabisa.baadhi ya dalili ni kweli!! bt nimelipata wapi?
Mimi ni bukheri wa afya. sijui wewe mkuu?Mkuu Ndibalema Hujambo lakini?
Dunia ya siku hizi Majini wanawapenda bindamu dunia ndio inakwenda zake ukingoni. Jini Mahaba ni Jini mbaya sana akikupenda umekwisha atakutia umasikini maisha yako yote utahangaika mpaka utakufa huna maendeleo yoyote yale ukiwa nae fanya juu chini umuondowe.Mimi ni bukheri wa afya. sijui wewe mkuu?
Bila shaka mwanzisha mada atakuwa amejifunza mengi na atapata ufumbuzi wa tatizo lake.
Nilijifunza somo hilo kwa mara ya kwanza kutoka kwako hata hivyo nilisita kumfundisha mleta mada kwa kuhofu labda naweza nisimpe majibu ya kutosheleza kama wewe mwalimu ndio maana nikakwita mkuu.
Asante sana.
Ina maana mkuu hakuna hata faida chache za kuwa na huyo jini mahaba?Dunia ya siku hizi Majini wanawapenda bindamu dunia ndio inakwenda zake ukingoni. Jini Mahaba ni Jini mbaya sana akikupenda umekwisha atakutia umasikini maisha yako yote utahangaika mpaka utakufa huna maendeleo yoyote yale ukiwa nae fanya juu hini umuondowe.
Faida yake kuwa na jini mahab ni wewe kumstarehesha wakati anapokutaka umstareheshe yeye hiyo ndio faida kwake sio kwako wewe. Anakutia umasikini ili usiweze kumtowa mwilini mwako kwa sababu anajuwa akikupa pesa utamfukuza na yeye hapendi kukuacha ndio anakutia wewe umasikini. Jini mahaba ana wivu mkali sana kuliko bindamu. Usiombe akupende Jini Mahaba umekwisha na maisha yako yote yataharibika.Ina maana mkuu hakuna hata faida chache za kuwa na huyo jini mahaba?
Na kwanini anakutia umasikini? yeye ananufaika nini na mtu kuwa masikini?