Je, hii ni dhahabu au aluminium?

Mdugo

Member
Nov 17, 2017
55
37
Samahani wanajamvi, poleni na majukumu.

Nimekutana na hii kitu na ni mgeni kabisa wa mambo haya, sijui ni nini na sijui soko lake likoje kwa kifupi sijui pa kuanzia.

Kama ni dhahabu nini nifanye na soko napata wapi na kama sio nifanyeje, kwa wenyeji wa haya masuala ya madini please naomba msaada nipate abc za kufuata. Nimeweka picha hapo chini.

Asante

IMG-20230718-WA0001.jpg
 
Hayo ni mawe tu yanayofanania na madini ila sikukatishi tamaa unaweza kusubiri utaalamu zaidi
 
Back
Top Bottom