Je, hii ni dawa ya kikohozi au?

Je, hii ni dawa ya kikohozi au?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Jamani naombeni msahada

Mama yangu siku zote izi amekuwa akikohowa saana Tena kikohozi chake kilikuwa kime kuwa kikimtokea usiku tu ana kohowa saana Tena kile kikohozi kikavu kweli kweli.

Leo ame ni ambia kuwa amekohowa kidogo ya damu yaani akitema mate chini kulikuwa na kidogo ya damu Ambayo ilikuwa ina kuja kwenye damu

Sasa jioni nime mtengenezea dawa.

Nime chukuwa limao, pilipili manga pamoja na tangawizi nika vichanga vyote kwa pamoja akanwa.

Sasa baada ya apo nika taka kumtengenezea dawa ya kulamba nikachukuwa maganda ya limao na pilipili manga nika unguza

Sasa ule moshi na ile harufu imemuhingia mama ika enda kuzama kohoni Aka Anza kukohowa saana Tena.

Tumejaribu kumpa dawa zote kule kukohowa bado akuja Isha

Yaani ana kohowa saana Tena kikohozi kibaya ana dahi kuwa ule moshi wa ile dawa ume enda kumkwama apa kohonindo Maana ana kohowa saana
Jamani nataka kuhuliza kweli hivi
Hii ni dawa? au hii harufu ime mletea matatizo mama.

Maana mimi ninavyo jua kikohozi kikitaka kumalizika lazima mtu akohowe sana
 
sasa moshi wenyewe unaleta kikohozi, halafu na wewe umeenda kumuekea moshi, umefeli.

tafuta asali safi mchanganyie na tangawizi, ila kwa hatua alofikia ya kutoka damu ni bora umuwahishe hospitali tena haraka.
 
Mmeshapatiwa vipimo?
Wazungu ni wa pumbavu wao Wana jua corona tu akuna ugonjwa mwengine wanao ujuwa wame mpima eti corona hana corona Wana sema asubiri baada ya masaa ma wili wa mpime Tena corona wao tuna jaribu kuwambia wa mpime ugonjwa mwingine wao Wana lazimisha corona sasa Nina plan ya kumrudisha home Maana sioni umuhimu wa ospitali
 
Ok nimekuelewa jaribuni kutafuta hospital nyingine wampime makohozi vizuri watajua tu tatizo
 
Jamani naombeni msahada
Mama yangu siku zote izi amekuwa akikohowa saana Tena kikohozi chake kilikuwa kime kuwa kikimtokea usiku tu ana kohowa saana Tena kile kikohozi kikavu kweli kweli
Leo ame ni ambia kuwa amekohowa kidogo ya damu yaani akitema mate chini kulikuwa na kidogo ya damu Ambayo ilikuwa ina kuja kwenye damu

Sasa jioni nime mtengenezea dawa
Nime chukuwa limao, pilipili manga pamoja na tangawizi nika vichanga vyote kwa pamoja akanwa
Sasa baada ya apo nika taka kumtengenezea dawa ya kulamba nikachukuwa maganda ya limao na pilipili manga nika unguza
Sasa ule moshi na ile harufu imemuhingia mama ika enda kuzama kohoni Aka Anza kukohowa saana Tena
Tumejaribu kumpa dawa zote kule kukohowa bado akuja Isha
Yaani ana kohowa saana Tena kikohozi kibaya ana dahi kuwa ule moshi wa ile dawa ume enda kumkwama apa kohonindo Maana ana kohowa saana
Jamani nataka kuhuliza kweli ivi
Iyi ni dawa? au iyi harufu ime mletea matatizo mama
Maana mimi ninavyo jua kikohozi kikitaka kumalizika lazima mtu akohowe sana
Watu wa kigoma mna nini,utamuuwa huyo mama yako bure,mbadilishie hospitali
 
Wazungu ni wa pumbavu wao Wana jua corona tu akuna ugonjwa mwengine wanao ujuwa wame mpima eti corona hana corona Wana sema asubiri baada ya masaa ma wili wa mpime Tena corona wao tuna jaribu kuwambia wa mpime ugonjwa mwingine wao Wana lazimisha corona sasa Nina plan ya kumrudisha home Maana sioni umuhimu wa ospitali
Tafadhali katika vipimo atakavyopima msisahau kumpima minyoo pia, nayo husababisha kikohozi kikavu pia.
 
Jamani naombeni msahada
Mama yangu siku zote izi amekuwa akikohowa saana Tena kikohozi chake kilikuwa kime kuwa kikimtokea usiku tu ana kohowa saana Tena kile kikohozi kikavu kweli kweli
Leo ame ni ambia kuwa amekohowa kidogo ya damu yaani akitema mate chini kulikuwa na kidogo ya damu Ambayo ilikuwa ina kuja kwenye damu

Sasa jioni nime mtengenezea dawa
Nime chukuwa limao, pilipili manga pamoja na tangawizi nika vichanga vyote kwa pamoja akanwa
Sasa baada ya apo nika taka kumtengenezea dawa ya kulamba nikachukuwa maganda ya limao na pilipili manga nika unguza
Sasa ule moshi na ile harufu imemuhingia mama ika enda kuzama kohoni Aka Anza kukohowa saana Tena
Tumejaribu kumpa dawa zote kule kukohowa bado akuja Isha
Yaani ana kohowa saana Tena kikohozi kibaya ana dahi kuwa ule moshi wa ile dawa ume enda kumkwama apa kohonindo Maana ana kohowa saana
Jamani nataka kuhuliza kweli ivi
Iyi ni dawa? au iyi harufu ime mletea matatizo mama
Maana mimi ninavyo jua kikohozi kikitaka kumalizika lazima mtu akohowe sana
Mpeleke Hospitali Mama akapime TB
 
Wazungu ni wa pumbavu wao Wana jua corona tu akuna ugonjwa mwengine wanao ujuwa wame mpima eti corona hana corona Wana sema asubiri baada ya masaa ma wili wa mpime Tena corona wao tuna jaribu kuwambia wa mpime ugonjwa mwingine wao Wana lazimisha corona sasa Nina plan ya kumrudisha home Maana sioni umuhimu wa ospitali
Mpeleke mzazi wako hosipitali kubwa zaidi ya hiyo kwa vipimo zaidi.

Kumpeleka nyumbani unahatarisha maisha yake.

Nje ya mada; Jifunze kuandika kiswahili vizuri!
 
Jamani naombeni msahada
Mama yangu siku zote izi amekuwa akikohowa saana Tena kikohozi chake kilikuwa kime kuwa kikimtokea usiku tu ana kohowa saana Tena kile kikohozi kikavu kweli kweli
Leo ame ni ambia kuwa amekohowa kidogo ya damu yaani akitema mate chini kulikuwa na kidogo ya damu Ambayo ilikuwa ina kuja kwenye damu

Sasa jioni nime mtengenezea dawa
Nime chukuwa limao, pilipili manga pamoja na tangawizi nika vichanga vyote kwa pamoja akanwa
Sasa baada ya apo nika taka kumtengenezea dawa ya kulamba nikachukuwa maganda ya limao na pilipili manga nika unguza
Sasa ule moshi na ile harufu imemuhingia mama ika enda kuzama kohoni Aka Anza kukohowa saana Tena
Tumejaribu kumpa dawa zote kule kukohowa bado akuja Isha
Yaani ana kohowa saana Tena kikohozi kibaya ana dahi kuwa ule moshi wa ile dawa ume enda kumkwama apa kohonindo Maana ana kohowa saana
Jamani nataka kuhuliza kweli ivi
Iyi ni dawa? au iyi harufu ime mletea matatizo mama
Maana mimi ninavyo jua kikohozi kikitaka kumalizika lazima mtu akohowe sana
Ana TB haina ubishi, mpeleke hosipitali ya serikali usiogope vipimo ni bure.
 
Vipi kuhusu TB..umewaza hilo.

Apime TB pia.
 
Back
Top Bottom