Je, hii ndiyo sababu watu wa Mara wako kwa wingi jeshini?

Pia zamani jeshi lilikua lina ajiri wasio na elimu std iv ndio na wanaotumia nguvu bila akili hawa jamaa walikidhi vigezo hivyo
Nenda katairi ndio uongee na wanaume wakufumue marinda we pimbi kabisa.
 
Huenda ndo sababu mchakato wa kuwa mtakatifu umekwama?
Nyerere angekuwepo angekataa utakatifu. Alikataa kuitwa mheshimiwa ndo iwe mtakatifu? Aliitwa Ndugu Nyerere. Watoto wa jana nyie, mnamsoma tu kwenye vitabu vya historia mashuleni. Hammjui Mwalimu vizuri. Mwinyi ndiye aliitwa mtukufu enzi zake huku akichekelea.
 
Wakati wakupata uhuru miaka ya 60 viongozi wengi wa nchi changa walikuwa wako kwenye uoga wa kupinduliwa. Suluhisho ambalo wengo walilichukua ni kujaza watu wa makabila yao au wa sehemu wanazotoka kwenye majeshi yao. Hii iliwapa ulinzi mkubwa sana viongozi hao. Je Nyerere naye alifuata hilo kwa kuhakikisha watu wa Mara wanajaa jeshini au kuna sababu nyingine kwa watu hao kujaa jeshini?
Makabila ya Mkoa wa Mara yana asili tofauti kuna tale yaliyotokea Ethiopia na Sudan (Kurya, Jaruo, Nata, Simbiti, Ikizu na Zanaki nk) na kuna tale yenye asili ya west Africa (Jita, Ruli nk) kwahiyo haikuwa suala la ukabila, Zamani makabila ambayo yaliyopigana vita haswa na wakoloni yalikuwa yanapewa kipaumbele jeshini, angali Wahehe, Wakurya na Wangoni
 
Hili ni miongoni mwa maswali bora kabisa kuwahi kuletwa humu jf tangu tuanze 2018 .
 
Makabila ya Mkoa wa Mara yana asili tofauti kuna tale yaliyotokea Ethiopia na Sudan (Kurya, Jaruo, Nata, Simbiti, Ikizu na Zanaki nk) na kuna tale yenye asili ya west Africa (Jita, Ruli nk) kwahiyo haikuwa suala la ukabila, Zamani makabila ambayo yaliyopigana vita haswa na wakoloni yalikuwa yanapewa kipaumbele jeshini, angali Wahehe, Wakurya na Wangoni
Ala... Kumbe Waethiopia tunaowakamata hapa, tunawaonea tu. Wanakuja kusalimia ndugu zao?
 
Pia zamani jeshi lilikua lina ajiri wasio na elimu std iv ndio na wanaotumia nguvu bila akili hawa jamaa walikidhi vigezo hivyo
Mi naona mjadala uishie hapa maana umefafanua kwaweledi bila kificho.
 
Back
Top Bottom