Ogopa teknologia inakuacha uchi
subiri tarehe 26Tena wapinzani hawajaitumia vizuri teknolojia. Wangezungusha zile clip za Magufuli za ahadi hewa na sauti ya upole za 2015 na kuzilinganisha na za baada ya kuwa Rais, na kumwonyesha alivyo muongo, zingekuwa kampeni ya kutosha kabisa.