Breaking bad
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,464
- 3,497
Kwanza kabisa nianze kwa ku declare my side. Mimi ni pro democracy na napendezwa sana na mifumo ya kidemokrasia na independent strong institutions ya kiutawala ya western countries.
Lakini kwa mtazamo wangu Urusi ipo sahihi kwa ilichofanya ukraine kwa maslahi mapana ya usalama wake.
Sasa mara kadhaa nimekuwa nikimsikia Rais Putin wa Urusi amekuwa akilaumu mapinduzi ya 2014 ambayo yalimuondoa pro russian leader aliyechaguliwa kidemokrasia (kwa mujibu wake) na kumuweka madarakani pro western leader kuwa ni chanzo cha yote yanayotokea kwa sasa. Sasa kama ni kweli yule pro russia alichaguliwa na raia kihalali/kidemokrasia, kwa nini nguvu ya raia waliompindua ilishinda waliomchagua na hatimaye kumsimika wampendaye pro western?
Kuna uhalali gani wa madai haya?