Je hii biashara italipa?

Je hii biashara italipa?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,461
Reaction score
5,130
Nataka kufungua biashara karibia na Ubungo I DSM na kuuza vitu vifuatavyo kwa wakati mmoja:
magodoro, mito, matairi ya matrekta (makubwa na madogo), vifaa vya magari, chupa za chai, vikombe, vijiko, makabati (ya vyombo na nguo), chakula (wali, ugali, pilao, supu n.k), mchele, viatu vya aina zote, nyanya, vitunguu, matunda (maparachichi, maanasi, maembe n.k), vitanda, milano, madirisha, mashuka, mapazia, mablanketi, taulo, soksi, henkachifu, nondo, misumeno, majembe (ya mkono, ng'ombe, matrekta), mapanga, shoka, visu, rato, balbu za magari na nyumbani, magauni ya kina ,mama na watoto, vyumba vya kulala wageni (self container, double, single), radio, pasi, T-shirt, cherehani, mota, kompyuta aina zote, vipodozi aina zote, urembo (wa nyumbani na magari), sementi, chokaa, mabati aina zote, chumvi, bureau de change, mtego wa panya, dawa za kuua wadudu (mbu, mende n.k), magari mapya na yaliyotumika, rangi za nyumba aina zote, rangi za magari aina zote......
Naomba uweke bidhaa ambayo utapenda niuze ikiwa kama sijaitaja. Lengo ni kuhakikisha mteja hazunguki mji mzima, mji wenye foleni, wakati wa kufanya manunuzi.
 
Hahaahaaaa! Weka na danguro.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahaahaaaa! Weka na danguro.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nitajitahidi, ila itabidi niongee na Charles Kenyela nje ya Ofisi. Hivyo msihofu ikiwa kama huduma itakawia
 
Nitajitahidi, ila itabidi niongee na Charles Kenyela nje ya Ofisi. Hivyo msihofu ikiwa kama huduma itakawia

Sawa mkuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Itapunguza foleni mkuu,mtaji unao? Au epa?
 
ha ha haaaaaa!!! WAKINGA tu ndo wanaoeza biashara za hivo sidhani kama kuna wengine lol!!!q
 
kweli na wewe hamnazo ,kama una vitu vyote hivyo yanini ujisumbue kihivyo? c utumie kwanza hadi viishe!ttttte, vipodozi aina zote, urembo (wa nyumbani na magari), sementi, chokaa, mabati aina zote, chumvi, bureau de change, mtego wa panya, dawa za kuua wadudu (mbu, mende n.k), magari mapya na yaliyotumika, rangi za nyumba aina zote, rangi za magari aina zote....





kweli na wewe hamnazo,kama una
 
Umesahau bidhaa moja...eti inaitwa "mke wa mtu ni sumu".....weka na hiyoo bhanaaa...!!!
 
Back
Top Bottom