Je hi inathibitisha dunia (Earth) siyo tufe (sphere)?

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,562
Kwa vipindi tofauti nimekuwa nikipingana na NASA na allies wake 'JF Wamejaa' ya kuwa dunia haina umbo la tufe 'Spherical Shape' kama tunavyoaminishwa, kufundishwa na kukaririshwa.

Huku nikieleza ya kuwa dunia ni ubapa uliokuwa na bonde kidogo nikitolea mfano sahani maalum zilizotengenezwa kwa plastiki nyepesi na hutumiwa sana katika hafla, sherehe au misiba kwa ajiri ya chakula. (Recyclable Plastic Plates)

Zifuatazo ni tafiti na mifano juu ya utafiti huu wa dunia ya tufe (Sphere) vs dunia ubapa (Flat Bense);-
- Kama dunia ni sphere kweli basi US amekaribiana na Russia Federation kwa ukaribu wa Anchorage, Alaska - US kwa Anadyr, Verkhoyansk - Russia Federation wakitenganishwa na Chukchi Sea kwa upande wa mashariki na Bering Sea kwa upande wa magharibi. (Kama tunavyo aminishwa) Kijiografia naweza kutumia mfano wa Kigali, Rwanda na Bukoba, Tanzania umbali uliokuwepo kutoka Anchorage, Alaska hadi Anadyr, Verkhoyansk unatumia masaa 5+ ilhali Kigali hadi Bukoba ni dakika 45 arobaini tano hadi saa 1 moja. Kama kweli dunia ni duara/sphere Anchorage hadi Anadyr ilitakiwa itumike saa 1 moja. *Usafiri wa ndege

- Zanzibar na Comoros, dunia hii ya NASA na allies wake inaonyesha Comoros imepakana na Palma katika rasi ya Cape Delgado ikumbukwe Palma imekaribiana na Mtwara unaweza kusema ni Dar es Salaam City Center hadi Bagamoyo pia tambua Dar imepakana na Zanzibar ikitenganishwa kwa maji. Kinachoshangaza Zanzibar (Urban West) wao hufika Comoros kwa muda mfupi kuliko Palma waliotenganishwa na Comoros kwa Cape Delgado (According to NASA). Ukistajaabu ya Sphere utayaona ya Sufuria hapa....

- Ndege (Aero) kupaa kwa kufuata Northern-Eastern direction. Kama dunia ni sphere itakuwaje Ndege isafiri kwa direction hiyo ikufuata upepeo na mawingu makali yanayotoka upande wa mashariki?!

- Nile kutoka Ziwa Victoria kuelekea Midteranean Sea, Uele River kutoka Central Africa Rep. Kuleta Victoria na Kagera River kutoa Victoria kupeleka Lake Tanganyika, Kalemie kutoa Tanganyika kupeleka Atlantic Ocean. Aiseee hapa hadi uchanganyikiwe ndio uelewe

- Kutoka Sekondi - Takoradi, Ghana (Gulf of Guinea) ambayo ni North Western Africa hadi Port Gentil, Gabon ambayo ni Central Western Africa ni sawa kutoka Dar es Salaam Eastern Africa hadi hapo Port Gentil lakini anayetoka Sekondi - Takoradi anitafuta Port Gentil kwa kupanda yani North East ilhali mwanaume wa Dar anapanda kwa North East direction. Haki ya Ngowi NASA wanaumbuka zamu hii

- Ukiwa Copenhagen (Københavin) Canton ya Odense Zealand kwa Jon Stefano ni karibu sana kufika Malmö au Helsingborg yani Copenhagen ni Ilala na Malmö ni Kigamboni kinachoshangaza mtu anayetoka Cuxhaven kuelekea Copenhagen anaelekea North East huyo huyo anayetoka Cuxhaven kuelekea Helsingborg anakuwa anaelekea North West, lakini NASA wametumianisha hawa Copenhagen, Helsingborg na Malmö wote wapo East. *Cuxhaven amesimama kama Kisarawe

- Persian Gulf sasa hapa NASA tuwashike kidole jichoni, Hawa na NASA wanadai dunia ni sphere na Middle East indaiwa kuwa kama mlivoaminishwa, Je Meli hii ya US yenye jina la mtu inapita wapi kufika Strait of Hormuz?!

Mambo ni mengi lakini nimechoka kuandika, Kwanza tuchambue haya.

BA in Geouniorld! 😂
 
BA in Geouniorld!
NASA wakudanganye wewe ili wafaidike nini?

Umeandika mambo mengi mkuu, nikuulize swali moja kama unasema dunia ni kama sahani mwisho wake ni wapi?
 
Mbona umepanick kaka?! Oke, Sahani je nimesema sahani gani? (Flat Bense) Bense Bense soma tena unielewe.

Sijasema nimedanganywa bali wewe ndiye umedanganywa.
 
Dah..sijaelewa kitu aiseee....umendika kivivu mmno ...tena kwa mfumo wa kuchamba MTU...walioelewa jaribuni kutuelewesha
 
Kuna kitu flat kisicho na mwisho? Sijapanic mkuu.

Ulishuhudia kupata kwa mwezi mwaka Jana? Kama ndio uliona kivuli cha dunia kilivyoanza onekana mwezini?

Unataka kusema Jua lilikuwa nyuma ya kisahani (Dunia)

Flat Earth believers mnasema Jua huzunguka dunia(sahani) kama mshale wa saa. Kwa mechanism hii hebu elezea kidogo kupatwa kwa mwezi (Lunar eclipse)
 
Niliona umekoswa point ulivyoanza tu kwa mipasho.Hivi Nasa wakudanganye ili wafaidike na nini?

Kamsome Magellan na Safari zake za baharini mpaka alivyouawa huko ufilipino.Then urudi hapa

Kasome Lunar eclipse vizuri na kivuri Cha dunia kinavyoonekana then urudi hapa?

Hujui hata Alaska zamani ilikuwa ni sehemu ya Russia.
 
Madhara ya kukimbia physics na maths ndo haya.pole mleta mada.
Sasa hapa ndio umedhibitisha kwamba umekimbia SCHULE kabisa?! Au?

Kama kweli hukukimbia Physics na Maths jibu kwa hoja.
 
Dah..sijaelewa kitu aiseee....umendika kivivu mmno ...tena kwa mfumo wa kuchamba MTU...walioelewa jaribuni kutuelewesha
Nimeandika kivivu sawa, lakini nimejaribu.
Wewe ambaye siyo mvivu leta hoja kushinda hizi za kivivu.
 
Kuna kitu flat kisicho na mwisho? Sijapanic mkuu.
Ulishuhudia kupata kwa mwezi mwaka Jana? Kama ndio uliona kivuli cha dunia kilivyoanza onekana mwezini?
Unataka kusema Jua lilikuwa nyuma ya kisahani (Dunia)
Flat Earth believers mnasema Jua huzunguka dunia(sahani) kama mshale wa saa. Kwa mechanism hii hebu elezea kidogo kupatwa kwa mwezi (Lunar eclipse)
Ndio kuna sahani zenye mwisho, toa sahani iliyopanda kwa pembeni weka maji kama yatamwagika.
Unauthibitisho upi kwamba dunia ilionekana mwezini? Je uliweza kutumbua bara lolote ulilokaririshwa?
Ndio naamini dunia ni 'Flat Bense Earth' lakini siamini jua kuzunguka dunia. Anyway jua siyo moja yapo zaidi ambayo hufanya Safari zake kutokea West to East yakiwahi wajibu wa kuangalia dunia.
 
Niliona umekoswa point ulivyoanza tu kwa mipasho.Hivi Nasa wakudanganye ili wafaidike na nini?
Kamsome Magellan na Safari zake za baharini mpaka alivyouawa huko ufilipino.Then urudi hapa
Kasome Lunar eclipse vizuri na kivuri Cha dunia kinavyoonekana then urudi hapa?
Hujui hata Alaska zamani ilikuwa ni sehemu ya Russia.
Sijasema nimedanganywa ndio maana nimeleta hoja kuthibitisha sijakubuliana nao. Wewe ndiye umedanganywa
Hivi nikiandika kwenye kitabu changu 'Idiot Embicile' siyo mwanadamu ni mti, utakubali kwa sababu nimeandika?
 
Ulishawahi kumsoma Spanish merchant Magellan ambaye alisafiri kuzunguka dunia akajikuta uelekeo aliofika alikuwa anarudi maeneo yaleyale aliyoanzia.

Vipi kuhusu kivuri Cha dunia kuonekana duara mwezini

Kuhusu hoja ulizozileta umefikiria kuhusu eneo la Alaska kupakana na nchi ya Russi.Sasa hivi lipo USA Lakini zamani ilikuwa Russia.Unaongeleaje hili

Mbona umerudi na mipasho badala ya kujibu hoja nilizokuandikia.
 
Back
Top Bottom