Je, HESLB imepunguza mikopo kwa wanaoendelea?

Je, HESLB imepunguza mikopo kwa wanaoendelea?

Hivi hesalb wametoa tamko lolote kuhusu hilo ?
[QUOTEvi Mmoja, post: 33394181, member: 557355"]
Alikuwa chuo gani ?
vyou karibia vyote kuna jamaa yangu yupo DUCE pia kanambia hvyo[/QUOTE]
 
Nchi hii tuna hela nyingi saaaaana/tajiriiii-Mkulu.
 
Aaron Arsenal,
Acha ubishi mkuu zaidi ya 80% ya wanufaika ambao ni continuous wamepunguziwa pesa za ada pamoja na zile za matumizi...binafsi mdogo wangu pia ni mhanga wa kadhia hii. yeye alikuwa analipiwa 1.5m per year ila wameipunguza hadi laki 9 bila kutoa taarifa.
Ni kweli hili tatizo lipo,tena kwa wanafunzi wengi tu continuous....
Nina Mdogo wangu yeye kaongezewa,lakn wengine wamepunguziwa hasa kwenye ada....!
 
Mnabisha nn ASA wakati allocation za wanafunz wrote zimepunguzwa vyuo vyote panga limepita
 
Wanafunz wanao endelea wengi majina yao hayaonekan kabsa...

Pia ni kwel watu wamepunguziwa hasa ada
 
Watu mnalia lia mmepunguziwa wakati Kuna wenzenu continuous wote walioomba mkopo wamekosa na wana uhitaji mkubwa pia.toshekeni na Hali zenu
 
Matokeo yako yana amua uongezewe au wapunguze unagonga sup afu Unataka pesa ngoja akili ikukae sawa
 
Back
Top Bottom