Je, haya ni Mapenzi ya kweli?

Je, haya ni Mapenzi ya kweli?

wakwangu kama wako...basi nampenda balaana nampaga vizwadi.....maana ameuliahuyo...siokila siku kuwaponda hawa kina evelyn saalt...wapo wengi wametulia (nimetolea tu mfano evely kwa jinsia yake hahahah)
[emoji23]
 
We vip mungu amekushushia malaika alafu unatupigia keleke hivi unawajua hawa viumbe wakishaanza unyonyaji utakuja kupigwa hadi boxer
 
hivi sie wanaume tunataka nn au umezoea drama sasa huyu anakupa shida mshaambiwa muish na wanawake kwa hekima na busara hamuelew daah
 
Mpenzi wangu hajawah kuniomba hata hela ya vocha since tumejuana tuko na almost 2 months na sijawahi kukuta simu yake inatumika usiku na mapenzi ameshanipa mara moja.

Je, hii NI ISHARA YA MAPENZ YA KWELI KWANGU?

Nikimuona mtu yupo kwenye mahusiano halafu hajui kama mahusiano hayo ni ya kweli ama la ndiyo naamini binadamu tu tofauti.
 
Nikimuona mtu yupo kwenye mahusiano halafu hajui kama mahusiano hayo ni ya kweli ama la ndiyo naamini binadamu tu tofauti.
hakika mkuu...maana mambo waziwazi mtoto kashapatahuyo bado analeta wasiwasi, ngoja amkose tumzoee sisi ndio atajua..anabahatai mi niae kamahuyo la sivyo tungemuwinda huyo tumpate
 
Yaani miezi miwili ngono mmefanya mara moja tu hapo mchunguze itakuwa kuna sehemu anatoa hiyo kitu haiwezekani kabisa...ningekuwa mimi nisingekubali
 
Back
Top Bottom