Kwan nisipomp atahis simpend? Had anipige chini?Wengine hawajui kuombe, utashitukia tu umepigwa chini usipojiongeza.
Eeh sas kk mm mwenyew naogopa kumuomb anipe kila siku.. Alaf istoshe mm nimempend tu hata asiponip mapenzYaani miezi miwili ngono mmefanya mara moja tu hapo mchunguze itakuwa kuna sehemu anatoa hiyo kitu haiwezekani kabisa...ningekuwa mimi nisingekubali
Mpenzi wangu hajawah kuniomba hata hela ya vocha since tumejuana tuko na almost 2 months na sijawahi kukuta simu yake inatumika usiku na mapenzi ameshanipa mara moja.
Je, hii ni ishara ya mapenzi ya kweli kwangu?
Eeh sas kk mm mwenyew naogopa kumuomb anipe kila siku.. Alaf istoshe mm nimempend tu hata asiponip mapenz
Mzee WA chuma cha reli nahc hujanielew nilichouliza?? Mm nampend kwel yeye sas natak nijue if ishara hzo anazonionesh yeye kwangu km zinaashiria tru love? Main point ni ishu ya pesa sio ngono.. Soma vzr post mh.haina noma maana hayo ndio maisha uliyoyachagua pia kama umempenda tu hata asipokupa mapenzi, sasa umekuja hapa jf kuuliza nini kama hayo ni mapenzi ya kweli?
kingine jifunze kuandika vizuri na inavyoonekana wewe bado tineja so usipende kuuliza maswali ambayo hata wewe mwenyewe unaweza kujijibu, halafu tumia muda mwingi kusoma vitabu na mabandiko mbalimbali hapo utajifunza mambo mengi sana mdogo wangu (grow up boy)
hela zenyewe mkiombwa haumtoi
tumechoka hatutaki tena
OK, but true love happens in movies only not in real life.Mzee WA chuma cha reli nahc hujanielew nilichouliza?? Mm nampend kwel yeye sas natak nijue if ishara hzo anazonionesh yeye kwangu km zinaashiria tru love? Main point ni ishu ya pesa sio ngono.. Soma vzr post mh.
Hhhm OK thanks for lessonOK, but true love happens in movies only not in real life.
Pia hapa Jf huwezi kupata icho unachokiitaji coz relationship is complicated and art of acting all we are doing pretending... Period